Zuchu – Mwizi (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Get #PeaceandMoney Album Now 👇🏼

Peace and Money album by Zuchu explores the
intertwined themes of love, harmony, and prosperity. It
delves into the complexities of relationships and the
balance between personal peace and financial success.

Track No. 3 from Peace and Money Album

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanao muombeya zuchu maisha marefu tujuwane kwa likes

shukuruMlondani
Автор

Hii ni siku ya tatu nkiskiza huu wimbo siku mzima😭kweli Diamond hakubahatisha hapa🙌❤️💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪

cliffdinho
Автор

Utakayesoma hii comment mungu akupe maisha marefu 🤲💯💢💫💢💯🤲💫💢💫💢💫💫✍💥💥🤝🤝🤝💥✍💫💢🤲💯

mohamedlopa
Автор

ZUCHU is just a golden female artist in 🇹🇿 TANZANIA her lyrics 100%
Melody 100% everything is fine we are so lucky to have her 🎉

FilbertKakiko
Автор

Hii nyimbo naipenda sana sina bebe lakini naiskiliza kuliko ata wenye mabebe naombeni like zenuu

ElizabethBosco-rsse
Автор

Ohhhh my fan zuchu nakupenda sana wewe ndo mama wa mziki hapa Tanzania 🇹🇿 hakuna mwingine ❤

Learnmoreyf
Автор

Hii ngoma kali kushinda zote ❤❤from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

SalmaYusufu-ue
Автор

💪💪💪 Ayolizer and kamixlizer huyo jamaa mwanangu sikio la mziki amebarikiwa nalo

TallbwoyClassic-uu
Автор

Zuchu mkali jamani hii album si itaniuaa😂❤ likes kwa zuchu kutoka tz🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪

FatmaYahya-ue
Автор

Aki zuchu she makes me go crazy ❤
Na sauti inaua kabisa.😊😊😊

Linet-ey
Автор

Hili Song ni Motoo🔥🔥. Laizer ni Fundi sana.

pauldeodatus
Автор

This Queen gives me goose bumps my god. Beautiful ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇺🇸

joyhylton
Автор

Nakumbuka Kipindi unatoa wimbo wa nisamehe, nilikuwa dm ukanijubu🔥nilifurahi saaana!! Ila now ndo hivo aijibiwi😭😭sio mbaya furahia Mafanikio Zuh

Globallaunch
Автор

Mwaka huu mtatuua na hzi nyimbo ampoii

denismaleo
Автор

Wa kongomani muko wapi tujuwane kwa like zenu APA kama una mupenda zuchu 🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪

KidalosMafumbula
Автор

Tunafurahi kwa song lyrics nzuri ili tumalize mwaka salama, mungu atubariki sote tumalize mwaka vizuri 🙏

Justin_Nano
Автор

❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimeangalia albm nzima hii ngoma noma😊

jasminmajaliwa
Автор

Kwa bongo mpinzani wa mbosso nazani ni zuchu tu

Shadadihamis
Автор

Bila kusikiliza hii nyimbo sipati usingzi

kanja
Автор

1st Kenyan SI mnipee likes hapa na pale 😢😢😢

elvisshichele