Zuchu - Wana (Official Music Video) Sms SKIZA 8549163 to 811

preview_player
Показать описание
Debut Song For Zuchu As An Artist
Signed Under WCB WASAFI Record Label
Wana Is A Love Song Which Describe Love At First Sight

Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
Set As Caller Tune👇🏼
SKIZA - Sms 8549163 to 811
TIGO TZ - Sms RR kwenda 15050

Song Produced By Lizer Classic
Video Shot In Kilwa Masokoni, Tanzania By Director Kenny Under Zoom Extra

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Wana #Wasafi

Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ebana anaempenda huyu mwanadada Agonge like hapa mimi nampa malove nama fire kamayote Babalababa IMEISHAIYOo

blesmedia
Автор

Usaji mpya kama na ww umeukubali gonga like yako tuende sawaaa

ommyprince
Автор

Kama una amini hii ndio inaenda kumtoa kiba ontrand like hapa🔥🔥 #WCB_FOR_LIFE

gb-one
Автор

Hakika sauti nzuri sana jmn hata wimbo 2 jmn eeee hongera yake zuchu mpeni jmn maua yake daah like zangu jmn❤❤❤❤

MerlinaKubadesha
Автор

Kama naww unasubir kwa hamu colabo ya Zuchu na mbosso gonga like twende sawa💃🕺✌️🤝

raajsheria
Автор

Queen kutoka usafini kam unamkubaree ZUCHU gonga like hapa🍎

Saadan_
Автор

Jamani wimbo mtamu sana kama wakubali wimbo huu guza like twende sawa

Kiroboygini
Автор

. Mweye kuikubari hii ngoma weka hata likes za nyanya😍😍👌👌👌👌👌

hamedabashir
Автор

Gonga like kama umehona Diamond amechaguwa vizuri

lomarjr
Автор

Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 👐

kinjeathuman
Автор

Naiman wakat wako sasa kulitambulisha Taifa Kimataifa naiman Utafata Nyayo za Mom

marshymohdy
Автор

Who is still watching 2024 February ❓
I love Zuchu 💜 from uzbekistan 🙌

imdervish
Автор

Mashallah mtoto wa malikia nipeni kometi zenuu

aswilaidrisa
Автор

Mashaallah nakukubali dada yani umeinga mamako kabisa malikia wamipasho hadija kopa naombeni like jamani ata kumi tu

kulthummohamed
Автор

Queen ajipange moto umeingia wasaf km mmemuelewa like hap0

ayshermaruma
Автор

If you're listening from Kenya, , gonga like hapa..

mutaienock
Автор

Kama umelewA hii nyimbo

Gonga like Kama umeipenda hi nyimbo na umeona kiuno Cha zuchu 2020 #niushindiTu#wcbforlife

ibbumastory
Автор

Zuchu dada angu unajuwa mpaka unaboa "SINYWI MAJI YAKAPITA" 🤗🤗🤗🤗😋😊😍

divanninxas
Автор

Asante sana big boss #diamondplatnumz kwakutuletea mbosso mwanamke, naona hapa tumepata kweli hata mbosso akikaa kimya bado tutakua sawa tu mana zuchu atatoa ngoma. Zuchu welcome to WCB FAMILY💞💞. Wcb4life. Follow zuchu on all platforms digital

wolfdjmovies
Автор

NYIMBO TAMU, SAUTI TAMU VIDEO KALI MUIMBAJI MTOTO MZURI.
.
SIKU YA KWANZA,
NYIMBO YA KWANZA,
TRENDING YA KWANZA.
REKODI YA KWANZA.

ONYESHA JEURI SHUSHA YULE JAMAAA PALE JUU AJIJUE KUWA WEWE TU HAKUWEZI SEMBUSE HAO VIDUME

🔥🔥🔥🔥🔥

IBRAHIMELSUBHY