Zuchu – Makonzi (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Get #PeaceandMoney Album Now 👇🏼

Peace and Money album by Zuchu explores the
intertwined themes of love, harmony, and prosperity. It
delves into the complexities of relationships and the
balance between personal peace and financial success.

Track No. 5 from Peace and Money Album

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanaoelewa tu muziki nzuri ndiyo watakaopiga like hapa🔥🔥

simba_dangote
Автор

Yani King na Queen na ma Prince wote wapo pale WCB, msiwafanyie hivyo wenzenu 🎉🎉

RazaquePedro
Автор

Zuchu wa kwanza apa your fun from Kenya ❤ tunazingojea sanaaa

tnums
Автор

Zuchhuuu nimeipendaaa nenda kwa nnn wezi wa mumewangu mwendo wa makonzi tuuu

hafsabombo
Автор

Umebaruza Dada unaga shoo mbovuu message imefika

shamilamkadam
Автор

Mungu bariki mashabiki wote wa {PEACE OF MONEY 🤑🕊️✌️💰}say amen amen ❤❤❤😂

GodwinJohnSila
Автор

Nakupenda mama yanq kipenz chanq mungu akulinde kipenz chanq wewe ni furh yanq siku zote asante mama yanq dunia yanq fahari yanq tabasamu lanqu siku zote mungu akulinde siku zote Nakupenda xana jmn

JoyceJoseph-korr
Автор

Hii nyimbo ni maalumu kwa wanawake ving'ang'a wanao jua kupenda mpaka mifupa ya mtu inajua kua kimwili kinapendwa any way kazi nzuri sana

SwahiliAmbasador
Автор

Naamini Ipo Siku Africa itasikiliza Mziki Wangu 🎁🎶🫅🏾 #AlmasiNillan 🇰🇪

almasinillan
Автор

Huy mudog jaman😂😂ananicekesh san nagupend zuzu❤❤❤❤

GcyfZfxtt
Автор

Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo 🤲💫💫🤲💫🤲💫🤲🤲🤲🤲🤲🤲💫🤲🤲💯💢

mohamedlopa
Автор

Zuch unatishaaa sanaa. Much love❤️❤️❤️ from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

mumporezefildaus
Автор

Zuchu you are very talented, Queen of East Africa

JimmyKeith-rdijojm
Автор

Sometimes zuchu unaimba zile nyimbo tunazitaka kuwakomesha 💯😂😂

fathmaibrahim
Автор

From Sierra Leone I don’t know Swahili but I like this song always I play when I start my journey to work

meymanmustafa
Автор

Tofaut yng zuchu ni penz lake kw naseeb, nlitaman angekuw na mpenz zaid ya naseeb for my reason.. ila ktk kuimba namuona omary kopa haswa.

alifupi
Автор

Et makonzi weee kweli mdonge akizingua mnyukue

FahadAli-nieu
Автор

Hiiii kesho asubuhiii numbbbeeer one on

chutney
Автор

Am listening this masterpiece live from Nairobi Kenya 🔥

jackwinnerhustler
Автор

Tunakwenda kufunga kwaka nangoma kalisana ndomana namkubalizuchu you are queen of Tanzania❤❤

lilyana-brdo