Zuchu - SKYLINE: Tanzania (Freestyle)

preview_player
Показать описание
Watch Zuchu deliver a sweet live serenade atop Trone’s production for SKYLINE: Tanzania.

Dar es Salaam singer-songwriter Zuchu is one of the most prominent voices in the Bongo Flava scene. Her 2020 single “Wana” catapulted her into stardom, and she’s seldomly been off the charts ever since. Her approach to live performance and the tenderness she brings to her SKYLINE freestyle is a true exemplar of her sweet personality.

On the latest episode of SKYLINE: Tanzania, Zuchu delivers a honeyed live performance. The subtle nods to the camera show off the fun the Tanzanian artist is having while freestyling. Her Bongo Flava roots amplify the live take. As we seek to take local cultures and put them on the global stage, Zuchu’s performance is a testament to staying true to yourself while crossing over.

Shot & Edited by Sage English
Beat by Trone

RECOMMENDED VIDEOS:

#Audiomack #Zuchu #Tanzania #Skyline #Freestyle
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman 🗣️🗣️ kusema ukweli 🤭🤭 Kila alierudia zaidi ya mara3 ♥️♥️huu wimbo🎶🎤 hemu gonga like 🙏🙏 basi twende KAZI 🤩🤩

salumhamad
Автор

Nimesikiliza huu wimbo hadi mwili umenisisimka, niseme tu zuchu umeuwaa🥰🥰, we love u Dear❤

glorypretty
Автор

Huyu dada hatar kwel level zake sio na wanawake always she kill it 🙌🙌

francislotti
Автор

ZUCHU'S TONE is mesmerizing
Her voice is breathtakingly beautiful 😅🙌
All the best AFRICAN SWAHILI SONGBIRD ❤️

Swahili
Автор

Karata ya ushindi ya lebo WCB ni zuchu 🔥🔥🔥🔥☕

geoufo
Автор

Zuchu don't know how much Kenyans love you🇰🇪 ama niaje

abubakarimsere
Автор

Swahili Representer....African Queen Zuchu... WCB for life..🦁🦁🦁

muntueric-oyty
Автор

Dah itoshe kusema zuchu mmoja ni wasanii 10 wakike bongo 🇹🇿💥🙌🙌

uswegepatson
Автор

Please audiomack let Zuchu release on all platforms it deserve to be heard worldwide 😊

blessmimi
Автор

She sings with passion, Zuu is my best female artist 🤩

limoshedrack
Автор

Zuchu mufanyie iyi nyimbo matangazo makubwa. Iyi ni nyimbo ya kimataifa. Inaweza number 1 in fraca❤❤❤

massejobbs
Автор

The MTV award it's for you Zuchuuuu you're 🔥🔥🔥🔥

MrTop-wjno
Автор

This girl is really talented, I never seen such a talented musician than her in East Africa....much love from ±254

bashoramohamed
Автор

Nimeamua nilie kwanza kwa ili jimbo kali sana zuu mwanngu mungu akuweke

fatuamjafary
Автор

Diamond owa uyo binti, iyo ni zahabu. Kila mwanaume anamtanani zuchu, ukichelea tu, nachukua mara moja. Pia anakipaji kikubwa. Dada ana nyota kubwa. Zuchu tajiri

massejobbs
Автор

Zuchu bana, anaimbaaaa, mtoto wa kizanzibari kana sauti ....i love her voice

donomar
Автор

Nakupenda san zuchu hujawahi kuniangusha sabiki yako kama unapensa sana like

ndayishimiyeraya
Автор

This song is so big kwa wale wanajua muziki.she's talented, adorable, stunning, original, melodious, she's gifted with good music.she's an upcoming artist but she has surpass that level with hits.she's blessed.I love you Zuchu, Kenya love you.❤❤❤

muhammadomar
Автор

Zuhura I don't know what to say. You killed it my dear. Aku sitaki Mwingine namtaka Zuchu tu ❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

pilikhamis
Автор

Naupend San huu wimbo love you 💓 zuchu nakupend san mungu azidi kukubariki na kukutia nguvu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏

doriceleonard