Rayvanny Ft Zuchu - I Miss You (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Get The Song On 👇

For Bookings:

Follow Rayvanny On:

Connect With Zuchu On:

#Rayvanny #IMissYou #Zuchu
Copyright ©2022 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bonge la WIMBO Ahsanteni Sana Rayvanny na Queen Zuchu huu WIMBO Umenigusa Mimi kabisa daah, Namkubumba sana Mchumba angu Kwa Sasa tumeachana, naomba nimpate mwingine aje anifute machozi 😭😭😥😥😥

KibweOnlineTv
Автор

Asante reyvanny umenikusha. Mbalisana wimbo uhu umenigusa natamini ningekuwa karibuyako nikupe ongera

gdpumsk
Автор

Rayvanny kweli mwenyezi Mungu umuweke machuma ndani ya mwiliyake, aishi myaka mingi sana kwenye huu mziki, yaani anajuwa kazi.

FredoBoy
Автор

The lyrics is amazing. "Sikujua ntarusha jiwe ndege wakapeperuka"

felixkimutai
Автор

Missed you 😚💯💯 RAYVANNY to the world 🌎

onsongocomedy
Автор

Likes for this amazing song... Kenya let's go🇰🇪🇰🇪 rayvanny x zuchu

_officialshutterboy
Автор

MashaAllah zuchu👌👌👌😘😘😇😇😇👑👑👑💫🤕nakupenda bure

kekiplusandonly
Автор

Zuchu akiimba na rayvanny na mbosso nyimbo inakuwa nzuri sana mnawakilisha vizuri sana nawapenda❤

mariamwakabuta
Автор

THE LEVEL OF CREATIVITY IN THIS VIDEO 🔥🔥🔥♥️ MUCH LOVE FROM KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mageto
Автор

Nampenda sana Zuchu. Nyimbo zote zake za kupendeza. Napenda nimtembelee TZ.

lomuriagabriel
Автор

The story, the lyrics, the voices, the acting, the locations, everything is perfect 🔥

KenyaNewsChannel
Автор

Babangu mtanzania 🇹🇿 na mamangu mkenya 🇰🇪 😊, lakini Tanzania all the way ❤

Queenpin
Автор

Chui never disappoints... naipenda kazi yenu sana... from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️

croxzfireGideonsirma
Автор

Omg!!!! This is really a masterpiece...I will leave this comment here so that when someone replies I will always remember this amazing jam🥰

executivegaming
Автор

People from Tz 🇹🇿, drop a like. These legends are flying our flag to the next level, the song plus video are so touching.

mariambille
Автор

Zuchu is a killer in lyric
2024 give me your likes

ismailnsabiyumva
Автор

Am a pure Tanzanian, rayvanny has those melodies aish aish aish "kusema bora tuachane Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka" "sipendiii" Its good to have such talented artist in our country. Swahili vibes

truecolours
Автор

KENYAN let's gather here with flags🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love for our Tanzanian sister and brother Zuchu na Rayvanny 💥💥💥💥

Butwhytv
Автор

Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we will always support our brothers and sisters from Tanzania

felestusasienwa
Автор

Kunanyimbo hazikinahishi kuzisikiliza kwawale wawili wenye upendo wa dhati
Hakika rayvanny ni fundi wa menload za hisia🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👈

officialsmartboy