Whozu Ft Zuchu - Attention (Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
#ATTENTION is the latest collaboration between two of Tanzania's biggest stars, Whozu and Zuchu.

This upbeat track blends Afrobeat and Bongo Flava, delivering catchy melodies and vibrant energy that will keep you hooked from start to finish. Both artists bring their unique styles to the song, making it an instant hit.

Don't miss out on this electrifying collaboration—stream, share, and enjoy!

#Whozu #Zuchu #Attention #BongoFlava #Afrobeat
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mnazungumziaje ngoma yetu mpya na Bidada Zuchu, Tumemaklisha lakini?😀

Whozumusic
Автор

Zuchu katisha sana💯 wapi likes 2 za bibiye mondi💖

AROMAA-KING_KENYA
Автор

Ety nyongonyonyonyongo mliopenda hapo nipeni like

AMOLIANO
Автор

Daa zuchu katuonesha venye mbu huwanga amekonda🤣🤣🙌keep it up zuhura othman💖💖

WaheedaAbdallah-ts
Автор

Tuliopa hapa kwa ajili ya Zuchu ☝️
Wcb for life

-thegreat-zawadimmasa
Автор

Wangapi wako apa kwa ajili ya ku support zuchu tujuwane apa ❤

SamuelMusala-urfd
Автор

Best of all time whozu kwenye piano wee Namb yangu moja mzee Wang

Xxxtentancion-ws
Автор

hii imewezaaaa. @whoz I love ur voice. wapi likesza nzunchu from kenyaaa
butuuutuktuk

PriscahWawuda-pyzq
Автор

Nyimbo ikiwa na Zuchu lazma iwe kwenye trend, nampenda Zuchu ❤

officialquochezdonshwari
Автор

Bonge moja dude😎😂🙌🏾zu mswahili sana aisee

Iampanther_
Автор

Zuchu you will keep on shining, hata sisi tutaja shine one day kama umakubali weka like ❤❤👍👍

Isabellaella-qd
Автор

@zuchu toa hii part ya 'nyong'onyong'o la sivo nyimbo Iko sawa💯

maarclassics
Автор

Wapi like ya zuchu msanii msuri Sana🫣🫣🫣🫣

josee_official-oy
Автор

LEO SINA BAHATI NIMEKUWA WA MWISO BT WAKWANZA FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
NIPENI LIKE 🤌🤌🤌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SINA JIPYA🥰🥰🥰

army_vibe
Автор

Asalamuu walekum bwana yesu asifiwe utakatesoma hii coment mungu akupe maisha marefu..🤲🤲🤝🤝🤲🤲🤝🤝🤲🤲🤝🤝🤝🤝🤝

mohamedlopa
Автор

Da Zuhura never disappoint 😂😂😂Well done Whozu na Zuchu🤣🤣🤣🤣💗💗💗💗💃💃💃💃💃Attention Nyieeee👌👌👌👌👌💃💃💃💃💃💃

salamamamashenge
Автор

bonge moja la korabo ❤❤❤🎉🎉🎉 nawakubari sana

NshomaSayi
Автор

A comedian and a music artist 🙌 kudos @Whozu x @Zuchu 😂

abou_hamrad
Автор

i see this song to be number 1 trending 🔥🔥🔥

jamesbravo
Автор

Zuchu never dissapoints, kama si msiba angeipigia hii nyimbo promo proper ❤❤❤

kantai