Mwasiti- Nalivua Pendo (Official Video)

preview_player
Показать описание
Mwasiti also known as Chitty Witty is a Tanzanian Song bird she is one of the few super talented female musicians from Tanzania her career has been outstanding through the years

The Black Butterfly

Download Platforms

Connect with mwasiti on social media

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaikubali hii ngoma kuwa Ni zaidi Hata ya Sukari ya zuchu gonga like

bevanny
Автор

Nimewapa wengi sana mapenzi ya kweli lakini sijapata wa kweli 😔😭😭😭😭😭😭😭 Mungu nisaidie 2024

pgujomm
Автор

Wapendwa mko wap mnaofatilia izi nyimbo 2024 bd ziko🔥🔥

dorcaskidoti
Автор

Jamani mpo wapi mnao tazama hii 2021? Likes zetu hapa 😂😂😂😂

officialmtiamoyo
Автор

Hizi nyimbo ziliandikwa bwana💯😍 Nyimbo bora za Kiswahili🇹🇿

newking
Автор

Its 19 Feb 2024 still feeling it! Missing that life where streets live like a clan! I really Miss the era 😊

linuspastory
Автор

Tatizo watu wanatukana TU hawajui kuwa love is like betting, Kuna kupata au kupatwa.

JosephatNgua
Автор

Pale mama alipowatimua wote sebuleni aongee na Mwasiti ndio maana nzima ya malezi sio abwabwaje mbele ya wote

HumphreyTupa
Автор

Leo nalivua pendo sio kuimba tu naacha mtoto wa mama mkwe leo

jenniferkalimalwendohonger
Автор

I miss u mwasiti, na nasikitika nyimbo kali kama hii viewers wachache ivi

fungoamon
Автор

Mungu nisaidie mtoto wa mama mkwe ataniuaaa

JanetJustin-ntps
Автор

Nimerudi hapa baada ya kuumizwa huko mapenz kumamamake wanaume wote mbwa

faidhamohamed
Автор

March 08 2024 still naangalia hii nyimbk wallah apa dada mwasiti uliimba❤❤🔥🔥

CasmaRamadhani
Автор

Daah long time sana aisee... 2007 huko nikiwa primary kabisa😊 niliupenda kweli..melody naikumbukaga till today

Coachsamwel
Автор

Mwasit my sister nyimbo hii iwe fundisho kwa wanaume wote

ngoshathepoweplayboy
Автор

Hakuna Wala sidhan kama itatokea muandiko mzuri Kama huu kwenye nyimbo za bongo, alieandika huu wimbo anastaili tuzo

najmaomary
Автор

Dah kuna baabi ya nhoma nikisiliza napata filing sanaa

SudiAbdallah-rrtw
Автор

2021 hiyo naenjoy goma zito la Mwasiti like zenu tafadhali

paulinepaul
Автор

Mupo wap mnaotizam hii kitu 2022 keep its up tamu

husnahassan
Автор

Zimetutowa mbali sana very appriciate kwa mwasit

michaelmwembezi