Nalivua pendo - Mwasiti

preview_player
Показать описание
Mwasiti also known as Chitty Witty is a Tanzanian Song bird she is one of the few super talented female musicians from Tanzania her career has been outstanding through the years

The Black Butterfly

Download Platforms



Connect with mwasiti on social media

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama uwa unaiskia hii nyimbo kwan mwezi mara tatu like my comment

raudhahajj
Автор

Mwasiti anazeeka ngoma inakuwa kijana😅😅

Voiceofpeopleotz
Автор

tumerud tena baada harmonize kutoa temix

eliudmkumbwa
Автор

katika mashairi yaliyoandikwa vizuri yakaburudisha nafsi huu wimbo kwa kweli miaka nenda rudi utabaki hivyo, ushairi huu unafaa kufundishia

smarty
Автор

Nimekomenti hapa baada ya kukusikia kwenye clouds kipindi cha mapenzi kile, halafu wakati huu united anaongoza 4-0😂😂

BB-qpir
Автор

Njoo huku December 2024 harmonize kakuibia wimbo.

SteveneJoshua-ehkv
Автор

Honestly sijawahi kusikia wimbo uliopangiliwa mashairi hapa Tz (kwa maana ya bongo flavour) zaidi ya huu. Big up Mwasiti.

muddyville
Автор

Bado naupenda sana huu wimbo, Mwasiti❤❤❤

kashindikay
Автор

Wimbo Audio ilikuwa kali video ilikuwa kali sana inamaanisha unachokisikiliza what a song @Mwasiti ur the best see u at the Top right now😣

EZMAKILAKITU
Автор

Tulokuja baada ya cover ya harmo na phina tujuane

leonoratemba
Автор

Nakumbuka mbali sana 2007 shule bonga huko bbt

ImamAbas-fb
Автор

Wooh good. This song ilove from my hert

rajimaalik.nasheed