Mwasiti - Serebuka

preview_player
Показать описание
Mwasiti
Serebuka
Dir: Nick Dizzo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah nimejaribu kufikiria labda nikufananishe au nikushindanishe na msani gani wa kike hapa Tanzania sijapata nikagundua kua we ni zaidi Chity unajua sana aisee alafu hujawai chuja wala kupanda sanaaa tokea uanze mziki hiyo inaweza kua ndo sababu ya kua wewe ni msani mkali wa kike Tanzania Mungu akujalie utimize malengo na ndoto zako

williammasese
Автор

Music is the therapy ✌🏼 2022 still the best

rehemashabani
Автор

Wengine wafumania ila bado waendelea sababu ya kupeeeendaaaa

chumamlonganile
Автор

From china, unajua Mwasiti.
Mashairi yako huwa mazuri

DrSanai
Автор

Leo tarehe 23/6/2021 SAA 17:03 nasikiliza hii ngoma dah nakumbuka mbali sana

samwelykashililika
Автор

nikiwa o level hii ndo ilikua my favorite song🥳

joelgodfreylema
Автор

Serebuka na mwasiti mtoto wa kishuwa ❤️💪

davidalengairagro
Автор

Kusema kweli kizuri hakichuji Mwasiti you will always be on top no matter what.

ashaali
Автор

Huyu dada kipaji kikubwa sana. Alipo hastahili. Nakuombea ufike unapostahili. inawezekana, muda na nafasi bado unavyo

joycekombe
Автор

Ngoma yang kali Sana huu mwaka 2022 .07.05.

brothermo
Автор

Just realized how great the lyrics and everything sounds... good words for the current society where relationships have been a disaster... thanks

ryncellar
Автор

Saf sanaa Kweli ban wapo walio enda kwa waganga kwa ajili ya mapezi

khamisame
Автор

Daaaah, nakumbuka nipo NMB na made wangu

lwtmfvx
Автор

It is hard to describe just how good she is apart from simply saying "Damn! she is good!"

michkr
Автор

serebukaaaa ninawez pendwa tenh fire fireeee

queenreyrisherzyrisherzy
Автор

Leo n 2022 lkn bado naisikilizaa mzikii mzurii hauchujiii

tinboytz