Lameck Ditto - Moyo Sukuma damu (Official Video)

preview_player
Показать описание
#LameckDitto #MOYOSUKUMADAMU #SlideDigital

Lameck DItto Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Lameck Ditto

Follow Lameck Ditto on:

Channel Administered by Slide Digital

Singer and songwriter, Lameck Ditto has released video of his hit song, Moyo Sukuma Damu following rave reviews of the song within the music fraternity.
Moyo Sukuma Damu, is Ditto’s new song after almost 5 years of his silence, and since its release, approximately one month ago, the song has topped various charts of radio stations.
Moyo Sukuma Damu is composed by Lameck Ditto himself and produced by Emma the Boy of Epiq Studios based in Dar es Salaam, Tanzania.
The released video, directed by Traveller of Kwetu Studios.

Follow: Twitter @lameckditto
Instagram @lameckditto
Facebook @lameckditto
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Who is still here in 2023? For sure this song is underated... The message is on point as compared to most of current senseless songs. Big up Lameck 🤝

sovereignstate
Автор

Moyo sukuma damu Kama kunamtu tuko pamoja dondosha like yako twende sawa

petermayala
Автор

Nani mwingne hii ngoma bado inam fariji 2024

bennyedson-rgjd
Автор

Leo huu wimbo umenikujia akilini Nani mwengine tunaa usikza

mamaafricankenya
Автор

Nimekuja baada ya kutendwa vibaya na mwanaume niliyempenda kwa dhati, mwanaume niliyejima kila kitu na kumpa yeye aridhike lakini akaona adhabu yangu ni kurudiana na x wake na kulala nae kitandani mwangu!!! Emmanuel popote ulipo nakwambia nimeamua moyo wangu usukume damu na si vingine machozi yako peleka

rosepiere
Автор

Moyo sukuma damu😓Nani bado anaangalia2021

gracemtigandi
Автор

2023 bado tunasonga, nipeeni like jamani🎉

eugenecyll
Автор

Who else listenning this song on 2023🔥🔥likes plz

rosekasambale
Автор

Ni mwaka 2022 na bado wimbo ni mkali sana.

fadhymtanga
Автор

Ni 2023 and my heart is still pumping blood at rate full of peace and happiness..#254🇰🇪

turgidtv
Автор

Hii nyimb ilinifundish san nilikua muhanga wa kupenda moyo sukuma dam sivingin mmbka sas
2021 nasikiliz

sophiahassan
Автор

I am a Shona speaking person, also fluent in Zulu and Xhosa, however i find Swahili fascinating and one of the Sexiest languages in which you can serenade a lady and the Tanzanian & Kenyan Brothers seem to have mastered their art and do it with much ease, Swahili music to the World, much love from a Zimbo is SA.

alchemist
Автор

Mimi niko 2024 ila bado huu wimbo unanifariji bado

brotherdaugy
Автор

Huu wimbo ukisalitiwa ndounakoleaga kama Mimi Leo

johnyohana
Автор

Ni 2023.. Bado naiangalia hii nyimbo isiyotosha kuiangalia😥😥

faridmachemba
Автор

Huu wimbo ulifanya nipate mke aliye sahihi kwenye maisha yangu🤣😂🤣 na nashukuru tuna miaka yakutosha kwenye ndoa hakika Mungu nimwema sana nilipataje mke hapo ndo swali la msingi mana wimbo hauonyeshi kwamba unataka upende ila alivyoona nimepost kwamba moyo sukuma damu akaona jamaa mbona kama yupo serious kunibwaga hivi akaona isiwe tabu nichukue kabisa🤣🤣😂

harunakayega
Автор

Mm atakae pita hapa 2021 aachie licomment👌👌👌🔥🔥

khamislisso
Автор

One of the marvelous song in bongo flava.... Huu wimbo unaishi na utaendelea kuishi daima... Still listening in 2022

richardmgana
Автор

Nan bdo anaangalia hii ngoma Kam mm 2023 gonga likes hapa🎉

aselaabeli
Автор

WANGAPI HADI LEO HII NOVEMBA 2019 BADO TUNAANGALIA MZIGO HUU ULIOTIKISA NYOYO ZA TUJUANE

besumitv