Jolie - Haimaanishi (Official video)

preview_player
Показать описание
#JolieOfficial #Haimaanshi #NgommaTz
Jolie from Tanzania House of Talent (THT) has released her new video check is out on all platforms

© Epic Records Tanzania
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyiee Hii Nyimbo Ni kali Wangapi Tume i search 2024 ? Like here

EmanuelFaida
Автор

Wale ambao tunaskiliza 2024 tugonge like hapa

franssmoses
Автор

Leo hii 02/03/2024
Bado naisikiza kwa hisia kali naona inaenda na tukio linaloendelea na Baba watoto wangu😥😥
❤❤❤

aishamchome
Автор

Kila nikiingia ndani mke wangu anaweka hii nyimbo sasa nimeelewa nini anamaanisha

hasscropstanzanianlimitedh
Автор

Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA

MaliamuUmbowene
Автор

wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩

irenekidada
Автор

WIMBO MTAMU SANA, ,UYU DADA SIJUI YUKO WAP?2024

MariamBaruti-ivpe
Автор

dah! hatimaye its out...like kama unafikiri huyu dada atafika mbali kimuziki

adonisdayazzarz
Автор

Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi😢Dont give up baby🎉

marthasanga
Автор

Nyota ya jolie imeng'aa hapa kwenye huu wimbo

LinnahSombe-gh
Автор

NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO Nakukubali sana sister angu.

brownwaya
Автор

ase jolie hii nyimbo kwa siku moja huwa naiplay mala mia from 🇨🇦🇨🇦 we love u

geofreyniyonkuru
Автор

Huyu mdada yuko wapi. She's talented. It's been too long

ladybrave
Автор

Haka kawimbo kana vibe since 2018 hadi leo 2024/07/25 naombeni likes

deodatusmwacha
Автор

Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana

pundetv
Автор

Jolie...I love u gal..hutumii nguvu kwenye kuimba kwako and it's just perfect...go girl

ceciliakigera
Автор

hongera sana ...bora niuchunge ulimi wangu isije ukaponza kichwa

edwardsianga
Автор

Ukiachana na ujumbe uliowekwa katka mashaili ebu sikia saut iyo love you jolie

suwedimussa
Автор

Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕

marthamangasta
Автор

kusoma sijui hata picha nisione kazi nzuri sana sana Julie

agnessjohn