Hao - Mwasiti Featuring Chiddi Benz (Official Video)

preview_player
Показать описание
Mwasiti also known as Chitty Witty is a Tanzanian Song bird she is one of the few super talented female musicians from Tanzania her career has been outstanding through the years

The Black Butterfly

Connect with mwasiti on social media

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 ngoma inapiga kama imetoka juzi studio🙌🙌

gasparwamcha
Автор

Yani chidi alikua mwanaume wa nguvu kwakweli

AminaMbwana-hyyz
Автор

Nani alisema maneno yanauwa na nani alizaliwa anajuwa I like it 😙😙😙😙

aishamother
Автор

2023 naangalia hii Ngoma ndo kwaAAANZA January 🙌🙌🙌

sumakijaji
Автор

2021 wanasema ya watu ya kwao yanawashinda gonga like twende sawaa

jamesgerald
Автор

Acha hii comment ikae apaa miaka nenda Rudy ifahamike nawakubali

officialfredoo
Автор

2022 wangapi tuko hapa? Bonyeza LIKE tuburudike pamoja.

Rama_Mwaguya-.
Автор

Madam uliperform vizuri kwenye WISAC Mungu akutunze ❤

datiusngaiza
Автор

naangalia hii ngoma 2024 namalizia january

shabaninayopa-nwcf
Автор

Mwasiti chidi Benz anaulizia uko wapi 2023

gintezcabayser
Автор

Chid Alitisha ezni hizo...Tz ajengewe sanam..Leo nmeshinda na ili goma 2023 Dec 27

rajabwilliam
Автор

"Hivi nani alisema maneno yanaua"
"Hivi nani alizaliwa anajua"
🙌🏽
2024/Feb/1st. ❤

queenandchill
Автор

Yan nimemaliza kuliangalia hili goma dec hii 2023 ni lisong bwana hili

scollarmasha
Автор

Nimejikuta nai mic Sana Leo hii ngoma 😭😭😭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

fatmahrashidi
Автор

Huyu mandugu dijito ni mkenya aleitaka bongo kwa beats kali sana enzi hizo

alimombasa
Автор

Ndo naangalia hili bonge la ngoma kati kati ya mwezi wa pili nakaribisha mwezi wa tatu Allah atufikishe

yasinmandevu
Автор

16-12-2023 naiangalia siku ya jMosi ni kwere

shabanisheka
Автор

Friday night 31st May 2024 still listening to this master piece song ..

albertlokoya
Автор

Dada mwansiti mambo hinyimbo umeiwezea

alitz
Автор

We are come from Fenerbahçe from Samatta 💛💙💛💙💛💙💛💙💛💙💛

talhaismailkarakas