Peter msechu ft Amin Nyota ❨official music video❩ directed by einxer

preview_player
Показать описание
Song title; NYOTA
Song writers; PETER MSECHU & AMINI
Audio producer; AMYZ/C9 RECORDS
Video director; EINXER
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 kama uko live na goma kali kama hili piga like yako kibabee

perfectchikwende
Автор

It’s 2024 and it’s still a hot banger🔥🔥👏

goldenpoze
Автор

Huu ndio mziki wa tanganyika huu wa sasa ni watanzania gonga like 2024

erickngwavi
Автор

Naikubali sana ii ngoma 2023 gonga like hapa

fredythomas
Автор

Uliye husika kuungalia huu wimbo 2020 naomba tupiaa like ako hapoo

jumachanewstrends
Автор

2024 mwezi wa 6 Tarehe 29 saa 12 jioni kama Bado unatazama Tujuane

kgwphrd
Автор

Kwa wale tunaojua mziki huu ndy mziki ambao hauwezi kufa hata siku moja, kuanzia Melody mpaka waimbaji ni raha tupu, ila watanzania wengi hawajui muzik ila wanajua kelele za muzik that's why kuna baadhi ya wanamuzik wanaoneka wanajua kuliko hawa wenye vipaji vya mziki not only that pia mziki umeshiliwa na watu bila wao mtu huwezi kunufaika na kipaji chako, unadhani kama kweli watanzania wanajua mziki na biashara ya mziki ikawa free bila kushikiliwa na watu wachache si hv vipaji vya msechu na Amini wangekuwa milionea kuliko hv ambavyo unawaona wanapiga mziki wa kuganga na njaa, Amini and Msechu nawakubali sana kaka, msijali kuna siku ukweli utajulikana, like kama tuko pamoja kwa wale wanaojua mziki

mbotasimon
Автор

Ambao bado wanangalia ngoma hii mwaka huu naomba like

rakshiminimakuka
Автор

It's 2023, april.but this song hits as if it's new.its a timeless jam.

dicksonbonyi
Автор

Tunao upenda huu wimbo bado 2019 achia like

edwingwesso
Автор

kaka ujumbe umefika kwa jamii, umewagusa wengi hasa wenye ndoa zenye matatizo, wakisikiliza ujumbe huu wanavamiwa na machozi.
PAMOJA SANA

victormgaya
Автор

"Nyota na ing'ae msechu kesho usiku na mchana Amini

mr.baraka
Автор

Ni miaka 8 sasaa wangapi tuliimiss Ii Ngoma gonga like apaaaa👍

youngnigerbarizo
Автор

"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
2024
Everlasting masterpiece🎉❤

realscholarships-bolde.
Автор

best of all time ( Nyota na ing'ae kwako we bwana amini...nakuombea bado 2024🎉😢

isabhatototwin
Автор

The chemistry of those two guys is amizing...who's still watching this ngoma 2020..gonga like ya nguvu apa!

lafredoh
Автор

Hiyo vocal inayomalizia kwa mbaaali inaonyesha kweli msechu noma!

samsonmwakikuti
Автор

Huu wimbo ndio umekuwa chakula cha masikio yangu kwa sasa

jumawaziri
Автор

Baada ya 1M nimekuja kuangalia tena 🔥🔥🔥

freddieelice
Автор

Bonge la ngoma kama uwelewi utaelewa tu Bigap

AbrahmanAdballah-xmyc