Mwasiti - Kaa Nao (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Downloads KAA Nao

One of Tanzania’s best female vocalist - Mwasiti - the hit maker of Nalivua pendo, Hao , Serebuka, Sio Kisa pombe, Mapito and many more is back with a new hit song KAA NAO. The song is written and produced by Ema The Boy at Epic Records THT

Mwasiti speaks of the afro-pop hit song: “I am so excited to release this song , especially after being queit for some time I know my fans missed me a lot but not any more from now on its going be hit after hit so they better be ready

KAA NAO – Is song about a girl who is tired of trying love a guy who doesn’t appreciate her love so she decides to end the relationship “Kama mapenzi ni adhabu moyo wako kaa nao” which mean “If you think my love for you is a punishment ..you can just keep your heart” is more of a broken heart kind of love song

EDITOR’S NOTES:
Mwasiti stay’s the only artist in Tanzania who has worked in community projects more than any other artists and collaborating with a good number of NGO’ for the community good and having the descent reputation is something she has been since her introduction to the music scene in 2004

MWASITI ON SOCIAL MEDIA

For Bookings

#Mwasiti #KaaNao
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kati ya nyimbo ambao huwa nausikiliza mara kwa mara ni huu, coz kaimba uhalisia ktk maisha na mapenz kiujumla.

computertech
Автор

After 4 years this song still got me, niamini dada angu mwasity, this is my fav song from you!!! 💙🙌🏽

barakaswai
Автор

Huu mziki leo nikiusikia naumia sana moyo 😢
Mwaka 2019 kuna binti alikuwa ananipenda ila nilikuwa nafanya makusudi kumzingua mpaka anakosa amani kila muda analia ila nilijifanya kauzu kutokumjali😢 ilikuwa Arusha hapo,
Na niliondoka arusha sasa niko dodoma ni mwaka wa 4 nikiusikia huu mziki namkumbuka😢😢😢 jamani eliza naomba Mungu siku moja tuonane hata kwa bahati mbaya tu nijifariji naumiaaa😢😢😢😢

young_brother
Автор

nice vdz, kama umeipenda gonga like x100

nikohuruupdates
Автор

Hii nyimbo sichoki kuisikiliza na kuitazama

winfridamorenje
Автор

Kuanzia utunzi, uimbaji na video... girl you killed it hujuagi kukosea Mwaisiti... mtoto ulifundwa haswaa! I can't help replaying the song over and over!

TheLugiko
Автор

2024 and still banging with this, ,,, such a life time masterpiece from mwasiti

vensatemu
Автор

Waliozoea maigizo kamwe hawawezi kuielewa hii video! This is an extraordinary work. Big up Mwasiti!

michaelrodrick
Автор

shida wabongo tumejizoesha video kuwa ma vitu vya gharama kama nyumba Kali, gari n.k. tujifunze na sisi tufike level nyingine

Humphization
Автор

Very underrated song. So demotivating kwa Msanii Kazi nzuri isipopata attention

diegogodfrey
Автор

wimbo mtam hataree....
umenigusa mpaka ileile..
sichoki kuuskiliza uwiii...
moyo wako kaa nao, nmechoka kuuguza donda 😀😀😀😀

officialnash
Автор

💜💜 unajua sanaa mwasiti hadi unakera, everything is perfect the song the video yaan, this is one of my favorite song

alicekashumba
Автор

sauti yako tu my dear kiukweli ya kumtoa nyoka pangoni

veronicalucas
Автор

daaah mi naupenda tu wimbo japo video nayo sana we mdada

christianirobert
Автор

Much respect to you Dada Mwasiti, good melody, lyrics, video, and above all ya voice!

LJ-vynt
Автор

Huu wimbo mzuri sana, Ruge kakutosa sikuhizi ulifaa kuwa hit

graphixmaster
Автор

wat a golden voice💎.... Everything is perfect💫

minmianzi
Автор

mwasiti weee nyokooo si chokagi kuiskiliza eet uninyanyasee unipe simu ninywee maziwa

chidymzaramoog
Автор

Nimechoka kuuguz donda nimechoka kungoja moyo wko kaaa nao we fulan

elizabethvictor
Автор

That's a talent, keep it up, japo bongo now days they have forgotten completely about the talent, kiki ndo zinatawala

bonphacesukumba