Zuchu – Mama (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Get #PeaceandMoney Album Now 👇🏼

Peace and Money album by Zuchu explores the
intertwined themes of love, harmony, and prosperity. It
delves into the complexities of relationships and the
balance between personal peace and financial success.

Track No. 10 from Peace and Money Album

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I love you Momo utae soma comment hii mung awape maisha marefu mama zetu nakuwapa afya nafuralah ❤❤❤❤🎉

ZaiZainabu-op
Автор

Like nyingi kwa mama zetu walio hai mungu awazidshie afya njema, Walio tangulia mbele za haki mungu awalaze pema pepon😢

Nuru
Автор

Umeimba Kwa hisia sana...I wish this holiday nngekua kua Kwa Mama🥺🥺

traviegrey
Автор

Much love from Kenya, , , mnaopenda mama zenu like apa jamani

Stellah-iv
Автор

Mwaipaja akisiliza ubeti wa pili ulivyobeba ujumbe mzur bas Mungu atatenda jambo🙏

Changarikajr-cb
Автор

Mom is mom hata iweje hawezi kukuacha kirahisi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kama mama ako yuko hai kwa sasa niwekee hata like moja kwa kushukulu MUNGU mwenzenu hapa amatanglia ila nina imani huko alipo ananiskia😢😢😢❤❤❤❤❤

Emily-k
Автор

Mwenyezi mungu awatunze mama zetu...Ameen 🙏🤍

elmago_
Автор

Mum is the most popular person in the world take care of her as she took care of you ❤ MUM I LOVE YOU😢 NIPE LIKE HAPA

LIZAHJOEL
Автор

Zuchu😩This song got me emotional.My Mom🥹 Mapenzi yake ya dhati, I love you Mama❤I wish angekua nimtumie this song, I miss you Moma❤❤❤

ritasamuel
Автор

SHOUT OUT TO ALL MOTHERS Thank you zuchu for this ❤❤❤

FilbertKakiko
Автор

Kama Mungu amekubaliki uzima like hapa

evolution
Автор

Zuchu wewe ndio msanii wakike ambae auna malingo pia unajuwa sana dada yangu ila please angalia nawadogo zako wanao angaika nakipaji kama chako japo wachachetu uwasaidie

DangerMusictz-nc
Автор

It's indeed peace and money oyaa eeh I don't care bwana ni mwendo wa kusaka hela maneno mengi waachie wahenga too much hate turns to love u got it if you don't get it forget about it 🙌

Aisharayssan
Автор

Zuchu you made me cry ...yeye ndo nimekuwa nae all this while she cry wen am in pain I love her a lot

najmakhalid
Автор

Aki hadi nimelia...i love my mama so much...Thanks to God for our Parents ❤❤❤❤

vickynyakio
Автор

Ninafuraha kwa kua Zuchu amempa lizer Nafasi...lizer Kapiga beat nomaa... Zuchu Kenya Tunakukubali♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪

RoyAshuma
Автор

Nyimbo hii inanifurahisha mpaka natoa machozi 😭😭😭
Bas zuchu
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

dieudonnebigirimana
Автор

Maman Mungu akulinde akuzidishiye tena maisha ni lovar bicard nataka liké kama unamupenda mamako🎉🎉🎉🎉

lovarbicard
Автор

Nyimbo yangu pendwa kiukweli❤❤❤❤❤, I love you mama

Mwaminiomar
Автор

Hivi we zuhura unatuchukuliaje kweli. Yani hâta kompa moja kweli utunyime😭💔

Harexo