Zuchu - Honey (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Get #Honey Now 👇🏼

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kids love this song, most zuchu fans are kids who influence their parents

overseasgoodieskisumu
Автор

Dogo Mungu akuepushie n
a majaribu na akufanyie wepesi dogo langu akubariki sana

KrispinMassawe-eb
Автор

Msanii pekee anayeweza kumtoa simba kwenye trending ni zuchu. #Lioness

widebrainclassic
Автор

I play honey like 100 times a day...I mean my beloved son ELIJAH like it so much 😘

NyamigishaJanet
Автор

Wimbo hot hot fire fire ila ameinyima dakika daah yaan unaiangalia hujaifaidi mala imeisha🔥🔥🔥

arabiamaulid
Автор

Hakuna kitu nimekikubali kama hizi dance na kujikubali kwa Zuchu❤❤❤
Kama mmekubaliana namm nipeni like zangu 😅😅😅

Pombaa_Wa_Yesu
Автор

Nna mpenzi wangu
Honey simuoni tafrani
Namuita honey
Honey haonekani
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Nakupenda honey we unanitesa
Haya basi inatosha
Kivumbi leo
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Japokuwa namchuna
Kang'ang'ana humo humo
Honey wangu akinuna
Namkatia viuno
Vibuno vibuno vibuno
Vibuno vibuno vibuno
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Popolopopo popolopo popolopo
Popolopopo popolopo popolopo
Popolopopo popolopo popolopo
Popolopopo popolopo popolopo
Dj ongeza mdundiko
Angusha moja moja zijae
Kama mafuriko
Dj wee ongeza mdundiko
Tumsumbue jirani
Akome makasiriko
Nna mpenzi wangu
Honey simuoni tafrani
Namuita honey honey
Haonekani Honey

Phylloved
Автор

Zuchu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 love fromTanzania honey 🍯🍯🍯🍯🍯 kitu kitamu hapo yummy, yummy nimekubali mikono

livinjustin
Автор

tulio ona taarifa ya zuchu kuwa na views 34milion tukaja tia like apa

selemanisaidi
Автор

such a creative n talented mind, Aaaamizing

aligodah
Автор

That "dj ongeza mdundiko" part, deserves to be a whole song too.

josephngoli
Автор

the dancing style got me mmmmhhhh.

more love from Malawi❤

fridaychiwanga
Автор

My 1 and half yr baby loves dancing to that haaaaniii and popolopopo🤣🤣🤣🤣🤣 and if you want her to eat just play for her this song

fatmahnakazibwe
Автор

This song was so good to hear from you ❤️♥️

gabrielsinyigenga
Автор

My Zuchu ❤❤ Star wangu huyu, naipenda ❤❤❤❤

worldkoru
Автор

Bruh I can’t 🙌🏽😂😂🤣🤣🤣mzee wa kula chuma hicho naye yumo I love it

hakunamatata
Автор

Even u don't understand Swahili I like it🎉

mnyamapaslee
Автор

Love from London, UK 🇬🇧 perfect song with a lot of TZ vibe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

alinorlo
Автор

You're highly talented Zuchu...May God give you good health 🙏

jackwinnerhustler
Автор

Kabla WE need more female musicians like zuchu😍

dqdlnxp