Zuchu - Utaniua (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Stream & Download #Utaniua Now 👇🏼

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwenye mziki wa bongo huyu zuchu hana mwingine wa kupigwa mfano naye... it's you for me

musembijay
Автор

Kama umeurudia huu Wimbo zaidi ya mara kumi kama mm gonga likes
~zuchu ndo 👸 Queen wa bongefleva. Anajaua mpk sio poa kbsa

Ndoika_loboye
Автор

Number one in comment haa naomba likes za Lioness Zuhura Zuchu wa Simba wetu.

classicmediaenterment
Автор

Waooo!! Huyu binti anajua, , nakupenda sana zuchu, , from🇬🇦

upendopeter
Автор

zuuuh hii ni imara sana sijui kama kitu Gani, I give you the name you are:"The queen of super melody" nipeni likes zke zuchu.ila kna mdada kaitwa H girl mpe mkono wko afike mbali pia, collabo.

rayanchidona
Автор

Yan katika nyimbo umeimba dada hi umeweza na umeweza tena nasikiliza siku nzima Yan repeated ❤️❤️❤️ we fundi

tumainmwambala
Автор

Zuchu umetuweza na aka kawimbo kanaenda mjin vzr na hiii Valentine Day🥰🥰

LYANGASUPERSEMBE
Автор

Zuchu kama zuchu, always delivering song zake zote ni hit, hiyo imeweza kwa umpendaye iko sawa na hii Valentine, hapy Valentine zuu

joangitau
Автор

Our beloved African Queen is back with another banger🔥🔥🔥this song will hit more than million views within 24hrs🙏

jackwinnerhustler
Автор

TONE flani hivi za kubembelezana kwenye mapenzi❤️❤️❤️
Happy Valentine in Advance dia ZUCHU🌹

fatmamrihani
Автор

unapendeza sana dada... yaani nishasahau maumivu ya mapenzi niliokutana nayo .. ❤️ ongeza juhudi mno....

jaydannychawaboy
Автор

This is what happens when a song written from the heart of true lovers is finally out

lupitanyakisumo
Автор

Zuchu tunakukubali sana Kenya🇰🇪 likes zifike

Sugajoor
Автор

Roho yangu Mali yako, ♥️💯💪💪💪zuchu always on point.👏👏👏much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍

brendankatha
Автор

Wimbo special, kwaajili yangu kabisa 💪💪

fedricklubigisa
Автор

Leo nimesikiza hii ngoma mara mingi sana, single boys hii ngoma ndo imekua our Valentine 🤣🤣🤣

kenrifambi
Автор

Honestly you have the voice MashaAllah. You never disappoint us. Keep shining girl. Stay blessed @zuchu

mrssalim
Автор

Eeeii Zuchu jamani...sauti tuu❤️❤️❤️👌👌.Talented girl...watuacha hoi...wimbo ungeendelea kidogo...umemaliza ghafla ukaniacha taabani

scovydarlhabibi
Автор

My African queen zuchu another lit song always bringing the vibes, I ❤ this song.

rashidamahmmoud
Автор

Vile unapumuwa nasakia ... Improve kisi sijapenda iyo sound ukivuta hewa nasakia ...❤❤❤

_music