Neema Gospel Choir - Permanent (lyrics video)

preview_player
Показать описание
Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida.

Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3).

Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja
Leader: ⁠David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago
Video Editor: Enock Magwesela

LYRICS
Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea,
Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe,
Niko sure na huyu mzee Kanitendea.

Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent.
Baba kasema nisihofu,
yuko nami tena nisifadhaike,
Mkataba wa baraka Ni Permanent.

Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena.

Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

"Nipo sure na huyu Mzee " mbona Kama hawa haijakaa sawa !!

Titus
Автор

Mzidi kubarikiwa wapendwa...nyimbo imenibariki sana mimi binafsi pamoja na familia yangu.

chenge_ernest
Автор

Mbarikiwe sana, wimbo ni mzuri unabariki.

jessicamasepo
Автор

nipo sure na huyu mzee tena!! mbona Kama haijakaa sawa

Titus