Ibraah - Nimepona (Official Video & Lyrics)

preview_player
Показать описание
Nimepona Is A Swahili Word In English That Means (I Have Recovered) On This Song Ibraah Tells Us A Story Of Heartbreak. It’s About Someone He Used To Love Unconditionally, But That Person Left. The Song Is About Grief And The Difficult Time He Has Been Through Because Of The Pain Of Love. Eventually, He Accepted The Fact That The Person He Used To Love Is Gone. He Healed And He Has Made A Peace With The Situation.

Stream and Watch on all Digital Platforms Link

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah
TiTok:

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #Nimepona #KondeMusicWorldwide
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakuna pingamizi pembe zote nne za Dunia zinatambua ibraah anacho kipaji ngoma ni Kali ibraah kabila zote 🇰🇪 zimekubali Dopa wapi likes za konde gang jameni +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

enockochiochi
Автор

Mimi nimskiliza Ngoma nyingi Ila kiukweli Bado spata ona kama Ii umetisha ibrah 🎉

abdullyLazizi-tloe
Автор

Tuliosikiliza hii ngoma zaidi ya mara mbili gonga

Kid_bway
Автор

Bangi zinakupoteza mdogo wangu, , , , fanya mziki kazi usiuletee ubishoo, , , sauti inakata ieditiwe saana, ,,sikiliza sauti ya one night stand, ,na humu, , , yani daaah acha bangi dogo

hassanisilaji
Автор

kama umekubali hii nyimbo nipe like zake

jackboy-lofr
Автор

huu wimbo huwez kuuelewa vizur kama hayajakukuta jamn mlioachwa njiapanda vp mmeuonaje wimbo

NgimasambuCredit-ccxx
Автор

kusema ukweli mashabiki wa konde village ni wachoyo sana ninyi wa kuniacha bila like kweli
Hebu twendeni tuingize trending leo hii 💪💪💪🤔🤔🤔

adolpmagodoro
Автор

Ibraa anajua kulalamika bhana yanii kwa sekta hiyo hakuna kama yeye nyimbo unasikiliza unazipata hisia zote kama upo pamoja na Mimi nipe like yangu ❤️

goodlucknechi
Автор

"nkajikokota huku nkimwomba Mungu kutwa aniponye"..it's hitting deed🥺

eunicewaithera
Автор

Wa kwaza kutoka 🇰🇪 🇰🇪 Kenya nipewe likes zangu.... Ngoma🎶 kali keep it up 🔥🔥🔥

jonathanke
Автор

Ha! Waliyo Rudi zaidi ya Mara 2 tujuwane

aaronlukangiraseraphin
Автор

WAnaeye taka kuwaongelea KONDE GANG Jeshi la watu wawili VIBAYA awe Anaakili timamu naazingatie msosi👊👊🔥🔥🔥

yusuphathuman
Автор

Mtoto wa tembo kumbuka pia ni tembo wala awezi kuwa chura, ,,ngoma kali sana wapi like za King ibraah 2k saiz 📌

Alkibosstz
Автор

Ibrah nilekukubali saana, unajuwa saana siyo Siri wewe ni number one of 🇹🇿🇹🇿 IS my propose 🤝 thi is song for life🫂

iguettebakenga
Автор

kosa langu kukupend, ukaona mwana kwenda, nimejiuguz na nimepon ila sijafa chinga you kill it this is hit song

ronaldomwaijumba
Автор

Nasubiri ibraah afungue leble mimi ndo msanii wake wakwanza maana mm ni wcb lakni dogo namuelewa kinoma

luckman
Автор

I literally come to YouTube to check the notification.."someone liked your comment" and you have a new subscriber..it always makes my day

youngranqing
Автор

Ibra sio mkali anaimba flaaat tunataka sauti ya kupanda na kushuka ameshindwa na angella

Official_lumumba
Автор

Wasani wenzangu kutoka K.E🇰🇪🇰🇪tupatane hapa na malikes

nashboyofficial
Автор

Talent auna sauti auna yani kilakitu skuizi ni ziro kwako yani talent yako unavoanz mziki na saivi ni tofaut kabisa sasa sjui kunanin umekibadilish nakushaul angalia nyimbo zako zanmwanzo na izi za sasa utagungua kitu yani mbaka macvoice saivi anakuacha kwa kilakitu kuamakin kijana

Luffa.online