Ibraah - Nimekubali (Official Music Video) Sms SKIZA 5430239 to 811

preview_player
Показать описание
#Ibraah #Nimekubali #KondeGang

LYRICS
Kapipo on the beat, hey eeeh
Ooh nanana, ooh mamama
Maulana mmmh
(Kapipo)

Kapu limeshajaa
Mapitilizo maudhi yamezidi
Moyo wangu uko mbali nawe

Soko la karafuu umeuza dagaa
Na ule utamu umeugawia kijiji
Umenipa donda la roho
Isipagawe

Mungu amenipa ufahamu
Natambua lipi chema na baya
Usizuge kwa tabasamu
Kumbe huna lako moyoni

Na nishazoea mila
Kikwetu kusema sema ni roho mbaya
Ningalikuwa na uwezo
Mwanzo ningekuficha mfukoni

Ulinidanganya kumbi kumbi
Nilale bila chandarua
Kumbe mbu nang’ata

Si ulinikung’uta mavumbi
Nilipo omba nyingi dua
Ukaniondolea mashaka

Mapenzi hayalazimishwi
Haukuridhiana na mimi nenda
Ila nakuombea
Ukaishi maisha mema

Pia siwezi na silazimishi
Labda sina dhamani, huenda
Kuondoka kwako kwangu
Mungu akaleta mema

Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila
Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka
Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh
Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee

Japo ni ngumu ka imenikwama miiba
Maana kwa ndani ndani bado inanichoma
Na maumivu huwezi yasikia
Nayasikia mwenyewe tu

Na hali ya upweke sio kawaida
Najua dhahiri kuwa na kinyima amani
Stress ingekuwa kilevi
Ndio kulala na viatu

Jua mwana ukiyataka ndo mwana kuyapata
Mungu hamnyimi mja wake
Usinung’unike kwa utakacho kipata
Maana ndo unachotafuta

Umekuwa gari la taka, haunaga tabaka
Umekosa hadhi ya mwanamke
Tulia yakufuate magari bovu
Ndo kutwa ukafuata fuata wee

Mapenzi hayalazimishwi
Haukuridhiana na mimi nenda
Ila nakuombea
Ukaishi maisha mema

Pia siwezi na silazimishi
Labda sina dhamani, huenda
Kuondoka kwako kwangu
Mungu akaleta mema

Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila
Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka
Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh
Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee

Download and Stream on all Digital Platforms Link

Nimekubali

Written by Ibraah
Produced by Kapipo
Directed by Hanscana

©2020 KONDE MUSIC WORLDWIDE

Connect with Ibraah on

#IBRAAH #NIMEKUBALI #KONDEMUSICWORLDWIDE #KONDEGANG
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanao kubali kua konde suala la kuondoka WCB ilikua ni mipango ya muda mrefu liki hapa

THEBRAIN
Автор

Kama unamkubali ibraah na unaishi USA gonga like hapa. Konde music worldwide

theresebahizi
Автор

Nilikuwa nasafiri na Basi Fulani toka Arusha kuja Dar, nilikuwa nimezinzia kwenye basi, lakini ghafla nilisikia sauti ya kukwaruza kushtuka na kucheki nikaona kijana anaimba Vizuri kuulizia nikaambiwa anaitwa IBra!!!!Huyu. mtoto anakipaji aiseee!!!

jesselyimo
Автор

Mapenzi yanachoma yatupasa Kuwa wavumilivu kwani, mvumilivu hula mbivu wakati wa Mungu tutafutwa machozi I still believe it

furbenj
Автор

Ibraa unajua kabsa kaza buti mdogo wng. Mungu akubariki

mussamussa
Автор

Hii mistari kaandika Ibraah😭😭
Daaaahhh 😭
Sanaaa. Kapipo Kaua..
SoMo kwa Dada zetu.
Tunawapenda..

hamoudcreator
Автор

Kumbeee ka ibraaa kenyewe ndo hakaaa mdogo angu🔥🔥🔥

mwasimbega
Автор

Namungu azidi kukuza kipaj chako ibraah Ila ulala lapo usichoke kumshirikisha mungu wako yy ndo kila kitu kwako 💪💪💪💪💪💪

glorymungure
Автор

Mapenzi hayalazimishwii nenda salama ulipo uenda mungu kaleta mwingne kwa neema

sarahlukumay
Автор

Km moto umewashwa new sauti kwenye ulimwengu 💪🏽💪🏽💪🏽

pulatztv
Автор

ngoma makini sana kwa ss tuliowah umizwa

afronemmy
Автор

anaimba vizuri sana respect kwako #Ibraah
respect kwa #kondegang

mkalismithg
Автор

Kumbe kuchelewa kumiliki touch twakosa vitam daah weka like ya konde gang hapa

kondekamemenya
Автор

Huyu msenge anaimba sana aisee ni hatari, msanii bora kabisa chipukizi kwa bongo ✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿

arnoldleonard
Автор

Kama umeona ibla nimuandixh mzr like zangu jamni.

edwardyjuliusi
Автор

Nimekubali kbsa respect konde gang mpaka BURUNDI🇧🇮🇧🇮

hadjay
Автор

Wallah kwa hii nyimbo sijawai sikia msani hakimba kama Ibraah mungu akuifadhi harmo hajakosea kuku sign wallah yaani hii nyimbo ni motoo maneno siyakufatana nizaidi nazaidi ya Kwaru...Kwaru haijafika kwa hii nimekubali kabisa kabisa haki ww mungu tu illa swali sana muamini mungu kwakila atua Mungu zaidi kila hatua dua Allah akuifadhi

halimamzeebakari
Автор

Huyu dogo anajua sana zaidi ya mkubwa wake amenifurahisha

BIGBOSS-hlbu
Автор

Dah nilimiss sana mziki wa hisia namna hii na uandishi wa kisanii yani unasikia kitu ambacho asiye msanii hawezi andika. Kiufupi nimependa uandishi na flow ni project kubwa sana hii. Bless up likes zenu mnaojua mziki mzuri

emmanuelbongo
Автор

Isipo trend hii nyimbooo naacha kushabikia bongo fleva Go go ibraaaa u deserve

waytv