Ibraah - Mapenzi (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Karata 3 is a project composed of three songs, Mapenzi, Upande Featuring Skales (Nigerian), and Nimpende.

Mapenzi is a Swahili Word in English Means Love. On this song ibraah tries to tell us that there’s things to tolerate but not love because love hurts, you can love someone and that person you love has someone else who loves him/her.

Audio Produced by Mr Simon
Video was Directed by Joma from RedShot

Download and Stream on all Digital Platforms Link

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

Lyrics
No uuuh oooh aaaah
uuuuh ooooh aaaah
Mr Simon
Hayaa aaah yeee eeeh

Verse 1
Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia na siku zinakwenda aaaaah na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear haya mapenzi mwana kwenda
aaaaah no oooh ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video usione mtu analiaga ukadhani ni utoto mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh!

Chorus
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi,
mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah
eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi

Verse 2
Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo na ukikosa unachopenda utapagawa bure hata ufanye matambiko na na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke Yako ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo maana mapenzi hayana mwenyewe aaaaah unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo ukajihisi una mkosi weeewe aaah huuu oooh aaah, ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh!

Chorus
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi,
mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah
eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi

Ibraah
Konde Music worldwide
Mr Simon

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #Mapenzi #Karata3
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aisee ibrah mbn una hatari sana kijana.
Gonga like hapa kwa wale tuliokubali mapenzi

dnewztz
Автор

Kwa mara ya tano, Vipo vyakuvumilia lakini sio mapenzi💔💔🎶🎶🎶chinga umeuwa, konde to the world, , , natumai tutaingia trending soon🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

caroljoshua
Автор

Nani ako hapa saahii 2024 wakati Kenya 🇰🇪 kumechafuka 🎯

EJ_VIHIGAN_LION
Автор

We ibraah unaimba nakukubali we moto wa kuotea mbali una mistari inayo nyokà na unaimba na hisia wow wapi Kenyans wanao mkubali usipite gonga like kwa ibraah 👌😘😘😘

christineneema
Автор

Ibraah ni mwanamziki alie na uvumilivu na anacheza na hisia za watu anajua kupangilia mashahiri sana yuko vizr sanaa

tembotv
Автор

Nawaombea wote mpate wapenzi wataowapenda vyema♥️♥️

erickbright
Автор

NI YALE YALE MAPENZI YALOTESA MABIBI NA MABABU HII NIMEIPENDA ASEE👊👊👊💯💯👌🤞

mohamedmaalish
Автор

Wangapi tumefurah chinga kuingia trending❤🙏

mnyamwezitv
Автор

Team ibrah for life love you ibrah wanasemaga mapenzi hayana mwenyewe

najmanajma
Автор

Viko vya kuvumilia lakini sio Mapenzi...Maneno ya Ibrah🥰🥰🥰konde gang🔥

sikukuualaro
Автор

Kenya uko trending 🔥 hatimaye uchawi umeisha nguvu

Akhonya_jnr
Автор

Dah mapenz hisia mapenz matam mapenz machung yaaan hayaeleweki yaaan love dis song

amanilyobah
Автор

Dah iv ibra we mtot ulikuwa wap tangu mda dah aseeee Ni Moto 🔥 like kwa ibra tafadhali

asadibakili
Автор

We jamaa unajua ungepata saport ya kutosha like others AM sure ungekuwa mbali sana but I hope one day utafika blood, never give up

joachimdemarine
Автор

Ngoma pendwa kutoka Kwa chinga kwangu itabaki kua namba moja daima milele🇹🇿🇹🇿

SelemaniSeif-efvy
Автор

Kama umeirudia rudia kama mm konga apa😍😍😍kweli vipo vyakuvumilia lakini

junuferjinu
Автор

Wanakonde tufikishe hii nambarinmoja kwenye chati🔥🔥🔥🔥🔥

HOLYBmsaniiKE
Автор

Mapenz mwana kwenda usione mtu analia ukazani utoto vipo vya kuvumilia lkn sio mapenz ndomana me nakupenda mume wangu hata ukisema umenichoka nita kupenda hvyo hvyo tulee watoto wetu nyimbo naipenda sana

rosemarryjohn
Автор

Duh! Hatimaye dogo kaingia trending ✌️

ismailkatala
Автор

Jamani tulike hii nyimbo tumpush dogo ukilike watu wengi watazidi kuone #ujumbe ufike 💣

simonmsangi