Ibraah - Wandoto (Official Music Video) Sms SKIZA 5430840 to 811

preview_player
Показать описание
Download and Stream on all Digital Platforms Link

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daaa muziki muzuri saanaa munae mpende ibraah ngongeni like tuone wenye Imani 👍👍👍🤞👂

noelhasamutima
Автор

Katika maisha yako kumbuka mapenzi huanzia machoni nahuishia machoni yaani namaanisha huanza kwakuona nahuishia kwakulia 😢 nahayo ndio mapenzi❤

yusuphahmad
Автор

Wandoto kweli huyu wimbo unanikomoa moyoni 😭😭😭😭

Nurudash
Автор

Huyu Ibraah hatari...nipe like fan sugu toka kenya

NitiboyKE
Автор

Hii ngoma ibrah kaka chupaaa kali video kali🙏🙏🙏🙏kondegang four lifeeee!!!!gonga like kama ww team

peterwilliam
Автор

Tatizo la ndugu yangu Ibrah anapenda sana kuimba matukio ya maisha yangu. Daah!😭😭😭😭😭😭

charomwachinga
Автор

My bouy, , , , umeweza Sana en congrats ndugu yangu mdogo

msupanelly
Автор

Waliorudia kuangalia huu wimbo mara nyingi Kama mm tujuane jamaa anajua bhana khaaa.

witnessshadrack
Автор

dogoo pambanaaa ww ni kichwaa mnoo🔥🔥💥💥💥💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥🔥🔥🔥

ellykatule
Автор

Huyu mtoto anaimba aiseee Hongera zake na Mungu azidi kumbariki!

jesselyimo
Автор

Sawa chinga boy unajua salute mwanetu..🐘🐘tembo mtoto🤝

abbykruger
Автор

Kama hukuwa na juwa jinsi mziki wa ibrah unapenya Congo gonga hapa🇨🇩

isaacblinganman
Автор

Huyu mtot anajua bwna tuachen kuangalia team lakin najua ana talent kubwa sana parfct sana young bro kun siku utakua zaid ya hapo ulipo

kelvfedrcktz
Автор

❤❤❤❤wandoto unanikumbusha mbali🥺😢 kwakwel I really love so so much this song🥰🥰🥰🥰

shahely
Автор

Hakuna kuota hapo sasa ukitaka kujua mapezi yakweli utayajua tuuu wengine wanaitaji wanaume wenye pesa sasa kama wewe kapuku mchoma mkaa utaishia kuwahudumia kama waiter vile 🤣🤣🤣🤣🤣wandoto ashapata dingi 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💘💘💘mapenzi nipishe nipite 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️kaxi zurii sana

nurafedrick
Автор

One, nihty, stay, ndilo, gomalinalonimaliza, ibraah, nomaa, isey, big, up, kwasana, wandoto, mama, wanifanya, namiss, baby, wangu hiligama, lavutahisia, wallai, tena

darinaabdhullih
Автор

Kama una imani ibrah is the future king tupa like tuone

tumainiw
Автор

nahisi kama naota kumbe reality tayari alifanya nayeseka ni ww na nasfi inachochota najipa imani sijafeli

kulthumahmed
Автор

Jmn ibraah wewe unaimbanga maisha yangu kwa kweli mapenzi magumu kweli kweli 😭😭😭

AlineArakeli-coeu
Автор

Tanzania Tuna Wahanga Wengii WA mapenziii Ndo Man hizi Ndo znakua Favourite Song😀😀😀

asharashid