Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
Dharau” Featuring “Harmonize” Is Ibraah’s Latest Single . “Dharau” Is An Emotionally And Melodically Captivating Bongo Flava & Zouk Banger , Guaranteeing Fans An Emotional Rollercoaster Like None They’ve Experienced From Either Of The Artists. Tune In And Enjoy

Download and Stream on all Digital Platforms Link

Prod By Chibby
Mixing & Mastering By Mixing Killer

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #Dharau #Harmonize
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsanteni Sana Mashabiki Zangu Mnaoendelea Kunisupport Kijana Wenu! Nawapenda Sana ❤❤❤

Ibraah
Автор

Kama huyu wimbo unaeza rudia marambili kama mimi nipee like❤

Cbwoyhunter-smlt
Автор

Tanzania ni nyimbo tu ya harmonize ambayo naweza kuyisikiza mala 10 na siichoki.love frop🇧🇮

startv
Автор

🎉🎉🎉 watu mna roho mbaya 😮likes za chinga jameni, tukimbize ngoma mpk ifike 20M vews 😢😢

odetharwaibale
Автор

Mapenzi ulionipa wewe walai misikutamani mwingine we wakiapo....Ibra sauti tamu

fxoseij
Автор

Nigerians 🇳🇬, south Africans 🇿🇦, tanzanians 🇹🇿, Rwandans 🇷🇼, Ugandans 🇿🇼, Kenyans 🇰🇪, Burundians 🇧🇮, Zambian 🇿🇲, Congolese 🇨🇩 Americans 🇺🇸, , my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem

danatimusic
Автор

Wakwanza Mimi jamani naomba like 50k tu Zina nitosha ❤😅😅😅

rajabushedafa
Автор

Harmonize my bro did ❤❤❤❤👊🏿👊🏿Kama upo na mimi nipee like 😙

vqfjppk
Автор

Utungo wa harmonize iko level ingne..verse ya chinga ineweza..[of course hakuna aliyekamilika]

YvonneNyaoke
Автор

Oya wewwew tumemtungua @diamondPlatinum na #Mapozi yake sasa tuko #1 like

OfficiallRickyTz
Автор

Where there is Ibraah and harmonize we must have a national Anthem song, , Kenya is happy 😊, East Africa is celebrating 🎉, We approve this hit from 🇰🇪🇰🇪Naomba likes jamani msikuwe wachoyo

eyan
Автор

Nataka like moja tu kwa ajili ya familia❤

kadito-oj
Автор

kama huna #DHARAU gonga like hapa kumsuport IBRAA

tyscanah
Автор

Ila kiukweli hii Ngoma ni ya international 🌍wala haichoshi kusikiliza congratulations chinga🎉🎉tembo🐘🐘🙌🏿🏃🏃🏃🏻‍♀️🎧🎧🎧✊🏿

cvyihzb
Автор

Heri nyimbo tulivu kwenye ngeu kuliko kelele mingi kwenye gemu, huu wimbo hautokii masikioni nadharau wanaoudharau huu wimbo mnisaidie Likes Jameni watanzania hamjawai niipa haki yangu leo timizeni🎉🎉🥳🥳

berryxmsanii
Автор

Usjar dumu katika kumuomba Mungu atakuzidishia kibar zaid ya hapo❤

emmanuelsanawa
Автор

Jaman roho mbaya mnashindwa kunipa like za chinga kweli 😢😢 ❤❤❤❤ dharau au sio

wuyvwcr
Автор

Ngoma imegusa sana wanaume wanaojifua hii maisha ila wapenzi wao hawaithamani mbio anazo zikwenda. Wanaume msilegeze kamba kabisa. Bora ugali Dagaa kwenye amani! Kuliko wali nyama vitani! Ipo siku!

cyriloluoch
Автор

Hii ngoma imehit kiutofauti sana, Yes this is Chinga from south Tz, mtaalam wa kucheza na hisia za wapenda music. Huyu ni mmi kabisa 😭🔥🔥

SalmineJkinyuru-vfbd
Автор

Harmonize mfunze vizuri Ibraah aje kuwa namba one Tanzania🇹🇿 kama wewe ❤❤❤

Subsribed