Ibraah - Jipinde (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Download and Stream on all Digital Platforms Link

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

Lyrics:
Ye aah chinga aaah
Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro
na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo
kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo
uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani
we my sweet my hani bani nimependa kweli
sio ku having fun ouwoo o
oooh darling darling sweet sweet
ile mida flani ndani tukwichi kwichi
pendo limesha noma na twitt twitt
haujaniova saizi yani fits fiti weee

jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo
jipinde Aawe aaye awee baby jipinde
awee aaye aawe baby jipinde

no no no olea houwo wowo eeeh
njoo nikupe kipande cha muwa awe
na ninavyo kupenda siunajuwa awe
vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata
kama nyonga teuwa awe
mafuta nikupakaze kwa zako nywele
hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate
kwenye pete ninase nikupe yote
sipimi na tuimbe doli doli doli kwa yako migandisho
Maa kama mudoli doli doli doli maana
mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh

darling darling sweet sweet ile mida flani
ndani tukwichi kwichi pendo limeshanoga na twitt twit
haujaniova saizi yani fiti fiti wee

jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo
jipinde Aawe aaye awee baby jipinde
awee aaye aawe baby jipinde

#Ibraah #Jipinde #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Walio rudia iii ngoma 2024 gonga like kijanja zaidi na comment fupi

allyallymakius
Автор

The boy is Soo talented jamaani eee Ibraah anajua ukweel niuseme tyuu keep shining💪💪💪

richardmloha
Автор

Harmonize said "ata sku hizi siimbi sana wacha wa Bishane na Ibra" huyu Yut ameweza mbayaa 🙌🏾🙌🏾♥️♥️🇰🇪🇰🇪

maskartedu
Автор

❤❤❤ mimi nakusapoti Tanga Tanzania nina wadogozangu huko masasi wanangu mbeya

mussatwahilu
Автор

Big up bro for the good music.this song is on 🔥. Hii song ni moto wa kuotea mbali.likes za ibrah ziko wapi

nicholusngumbao
Автор

Siku hizi kijana ameenda level nyingine good voice creative 😍😍 likes from Kenya moja tu ndo naingia

marywinny
Автор

Bongo finest👌 music...Mungu amekupa Sauti na kipawa ibraah...playing this song since audio

lukaz
Автор

Tungekua naviongozi wenye kuipenda African kama Magufuri tunge songea

NdahaniYaredy
Автор

Kutoka Mombasa hii ngoma nimeiskia mtaan Mara more than 50times deferent places 🔥🔥🔥

mebtv
Автор

Love from Burundi 🇧🇮

Sijutii kuwa shabiki wa kondegand

joselyneirankunda
Автор

Njoo nikupe kifundo cha muwa, awe, na nnyayokupenda, si unajua, vile uwezi kujishaua yani kama kiuno kata kama nyonga teua we mtoto hatari

Jane-nyaboke
Автор

Ibraah Mwenye vocal n'a Text zake Jipinde tayari Congo DRC 🇨🇩 TUNAKUKUBALI Brother.

classicmediaenterment
Автор

Wow hata siamini kama huyu ni ibraah wa nimekubali kaza mwendo mashabiki zako 2nakuelewa sana

enockisack
Автор

This song you should use it for music tour to Kenya... Mziki mtamu... Konde to the world

jamesmaitho
Автор

Is everybody here kenyan big support from 254... dope shit konde gang forever

collincewire
Автор

Nakubali Kaka angu unazidi kunipa raha aise unavozidi kunogosha ngoma Kali an🌹🌹🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ani ni 🔥🔥🔥

msuvaaa
Автор

Good music no need to promote konde king of new school love from Zim

wizzygang
Автор

What I see hear is "ubunifu ujasiri na kujiamini ndio huleta ladha nzuri ya ngoma " big up Sana chingaaa💥💥💥

darprprime
Автор

Yaani mdogo wagu ili goma nikali mungu azid kukusimamia

yusraali
Автор

Never disappoint ibraah fellow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪am waiting for your likes

francisekadeli