Ibraah - Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811

preview_player
Показать описание
Ibraah - Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811

#Nitachelewa is a Swahil words from tanzanian language, in English Means he will be late. In this song Ibraah Tell us how much he has been hurted by his truly girlfriend and he doesn't think if the pain will be recovered. this is why he called his song #Nitachelewa.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

Download and Stream on all Digital Platforms Link

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Producer: B Boy Beats
Director: Ivan

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

Lyrics
Aaah uuh ooh oh, ooh chinga
Ah ah aaaah ah
Aaah uuh ooh oh, ah ah ah

Yeah sijui hata nifanyeje
Sijui hata nifanye nini me
Maana hata siamini
Hmn no ho
Nilikula kiapo nikungoje
Ila bado haiingi akilini
Maana nishakula ya mini yawe
Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo
Ngoja ngoja inaniumiza tumbo
Masikini umeshafata mkumbo, Yaani umesepa
Umeziacha zimejaza na rundoo
Na una ponda yangu fupi myundo
Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo
Ndio chanzo umeniteka, aah

Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka
Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka

Kama usiporudi (Nitachelewaa)
Oh oh (kupona Nitachelewa)
Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)
Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)
Yeah (kupona Nitachelewa)
Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)
Oh no (kupona Nitachelewa)
Nitachelewa mama

Ah ah aah, hmmm yeah
oh oh oh, yeah

Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma
Hasa nikikumba zako methali na nahau
Japo unanionyesha dharau
Moyo hautaki komaa, kukoma
Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau
Oh maana vita penzi lako ntapigana
Nikiamini utarudi we changama
Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe
Kwa binadamu mchungu (Wanaogombana)
Siku zote ndio wananopatana
Ama unapenda mi ninavolalama
Sijui nilipokosa ujue
Na malengo ujue
Mimi najua wewe langu fungu

Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka
Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi (Nitachelewaa)

Oh oh (kupona Nitachelewa)
Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)
Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)
Yeah (kupona Nitachelewa)
Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)
Oh no (kupona Nitachelewa)
Nitachelewa mama

Chinga, Konde music world wide
Yeah yeah yeah yeah yeah

#Ibraah #Nitachelewa #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

walio tazama mwaka 2024 tujuane like ❤

Rashidi-vihh
Автор

Like kwa ibrah jamn ngoma kali saana konde gang tunaisubilia👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

benardbenboy
Автор

Aisee hili ngoma nahisi sio ya mchezo mchezo karibu Ibrah bando lipo full

ibrahimusuleimani
Автор

One of my best Swahili song Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like za ibraah

elizabethnyaboke
Автор

Toka nianzee kuskiliza nyimbo zenye ujumbe mkarii basi hii ndo no 1 na sizan Kama itatokea kw mwaka huu chinga Kama chinga worldwide nakupa💯✍️✍️

zephaniatvnews
Автор

kinachoniboa nikwanini hamrekebishi akaunti iwe inaingizwa kwenye trending za youtube..

michaelmwasenga
Автор

Video iko safi sana team ibrah gonga like twende sawa

abbatv
Автор

"Na nina imani nitajijengea nisikuwaze kwa ubaya" that hit differently. Big up bro

donaldogango
Автор

Dah yaan ibrah mi nashindwaa hata cha kucommnt but Jah bless you 🙏💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

zainabubakari
Автор

Oyaaaa ibraaa toa dude bas wajuba bando litakata

shomarimwinjuma
Автор

Leo nmewai koz nilkua naisubir hi ngoma

mongoboy
Автор

Young ibrah kama uta like comment zangu basi young bro

officialssimba
Автор

Mi baba yangu sio Magufuli
Ama Kenyatta wa Kenya
Nikudanganye Mugabe
Ni uongo sio sawa

midodzinukunu
Автор

Ivan umemtendea haki huyu Mtoto.... Kali sana hii🔥🔥

kabaly
Автор

Kama una mkubali Chinga tujuane kwa likes❤

raymondfrank
Автор

Wenye wanampenda Ibraah jameni naomba likes ata 100 zinanitosha #Nitachelewa 🇦🇺🇦🇺🇦🇺💥💣💪💥

abeltuyisenge
Автор

Mzee unaimba sana aisee
Aloona Ibra fund gonga like twende sawa

jumakimaro
Автор

Wee boya😄😄 unaimba yaani hutumii nguvu quality vocal

eliaspius
Автор

Tofauti ya Chinga Na Omaly ni lugha tuu ❤

zpukhzu
Автор

Tulio ludia hi ngoma zaid ya mala moja tujuane kwa like jaman 😍😍😍

ibrahimmnenwa