Ibraah - Rara (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Rara is a love song in this song Ibraah praises the beauty of the woman he loves and also promises something good for her!

Download/Streams In All Digital Platforms

The song was produced by The True Name

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #Rara #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

mm natokea Kenya lakini nakubali sanaaa konde people, ,, Kama unakubaliana na mm weka like yako😍😍😍😍

johnmburu
Автор

Nani mwengine anaekubali kuwa ibraah na omah Lay tofauti ni lugha tu...kali sana

rayzonevic
Автор

JMN NIMECHELEWA BUT NIMEWAHI HUU WIMBO MTAMU WACHA NTAMBE NAO HUYU IBRAH CHINGA NI MTU NA NUSU AHSANTE KWA WIMBO MKALI VIDEO KALI.... GONGA LIKE ZAKE HAPA 👇💕💕💞💞❤️❤️

KibweOnlineTv
Автор

Here in kenya we say "Hii ngoma ni Kali ta ngui"🇰🇪😉

dicksonkariuki
Автор

Du courage mon frère ibraah suis ton fan de puis la RDC ( hongera Sana KK ibraah mi nishabiki Yako toka Drc .video kali nyimbo umemaliza kabs

aaronlukangiraseraphin
Автор

ahhhh ingoma inatakiwa iwe na 1 bilion now duuu sjawai nyosha mikono leo nimenyoosha duuuu🙏🙏🙏 au bas

isackjastin
Автор

Mdogo Uko vizuriii Managua mabraa long time 💯👊👍💥💥💥💥

kingmauzo
Автор

Umetisha mwanangu unyama mwingi PROUD OF YOU IBRAAH 👏🔥

PAPITOOO
Автор

Sanaaa inatoka Mtwara wengine wote wanaiga .Anaebisha abishe tu kwa sababu amazoea .Ila wakali wanajulikana.siyo kwa melody hizi.yaani ulivyomuona Ibrah juzi sivyo alivyo leo.

shabanijuma
Автор

oyaaa Kenya 'Uganda 'Rwanda 'Burundi need your likes to show how East Africa we unite ✅

innovator
Автор

💥💥💥💪💪mob love from Kenya🇰🇪, We love you our Tanzanians brothers&sisters

_kandybill
Автор

Duuuuh mbona nyimbo nzuriii hiviii na respect for u chingaboy

LOVE-mqgu
Автор

Melody...👍
Beat
Vocal...👍
Location 👍
KONDE GENG for 🌎🌎

footballhighlights
Автор

This guy is so talented man, he's the best version of himself, much love from +254 kenya

ivaniswekha
Автор

Ngoma kali, from IBRAA u never dissapoint, 🥰🥰🥰

lizzylizzy
Автор

Tumekosa kikohozi ya Tembo tu! Ila kazi Nzuri kutoka kwa Ibraah 💯💥❤ Kondegang forever

IAmWAYNE_K
Автор

Dah.! Hii Ngoma Ni Balaa Zito 💥, , Kama Unaamini Hivo Like Hapa Twende Sawa Dadeki 🦍👫

habarikiganjaniworldwide
Автор

Hapa namwona daimond mwengine kutoka konde gang, ni swala la mda tu hapa kikubwa uhai 🤩🤩🤩🤩

ROSEROBERTROBART
Автор

Kama yaaaniii Inachoma kama pasi vile🔥🔥🔥🔥Much Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HadijaSheban
Автор

Hi goma in favorite yangu kama nikipita kweye hi akauti yako sitoki bila kusikiliza... Is my favorite song... 🔥🔥🔥🔥..
Am from 🇲🇿

thebesttynednkuny