Ibraah Feat. Billnass & Whozu - Tubariki (Official Dance Video)

preview_player
Показать описание
Download and Stream on all Digital Platforms

Produced By S2kizzy

Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #Billnass #Whozu #Tubariki
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

IBRAAH amewafunika wote kama unaamini weka like hapa

mashabikiwaharmonize
Автор

Huyu. Ndio. Ibra. Wa moto moto. ❤ Be bles you. Kijana mdogo. Mwenye. Kipaji. Chake mjini 🎉🎉🎉🎉

YohanaTulito
Автор

Tunakwenda kumtoa yule alie juu palee wote kwa pamoja tufanye mapuziii

HairuMchawi
Автор

Ngoma isambe ndio hit ya mitaa ya Mombasa Kenya 🇰🇪 saa hii... Tubariki Baba....🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯

pablotm
Автор

Jaman tuipeleke hii nambari uno tuwatoe wale vigogo pale juu kwenye ubaridii. Chinga lets goo maGee

ShingyTv
Автор

Bado sikuu hiziiih mbili tuuuh kwenda number moja ndo tunataka tukuone chinga ❤❤❤❤❤❤❤

ghljwde
Автор

Bonge moja la ngoma umetuwakilisha vyema team konde

EliasMyeya
Автор

Oyaaaa tuipeleke namba MOJA TRENDING 😢

odetharwaibale
Автор

In the next five years ibraah will be the king of the hole industry... Kama unaamini eka like hapa❤❤

Gachema
Автор

"Noma club watoto wanashindana kuonyeshana chupi😂😂" Much love from kenya🇰🇪

luckyluchano
Автор

Ibrah kakangu endelea kujikaza kijana wangu ipo siku.. ila hii goma umeweka mkuu.

JogiSwahilBes
Автор

Muda waku fanya matusi good job🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

Clemsdarkboy
Автор

Mungu baba atubariki sisi sote. Like za wakenya wote zipitie huku... 🇰🇪🇰🇪👍👍

djbullion
Автор

Kuna maisha mengine ndugu zangu baada ya Leo msijisahau sana, , , tutarejea kwa ALLAH tukiwa watupu bila ya chochote.

Tujitahidini kufanya ibada kwa sanaa ndugu zangu maisha ya duniani ni machache sanaa😢😢

AbdulkarimRamadhani-nngf
Автор

Ebana unaamin Baraka zinatoka Kwa MUNGU pekee🙏🙏🙏🙏
Gonga lakin kama Zote

HaidaryNgwaya
Автор

Wazee mm APA wa kati kwakati minipe like zangu za kati basi boy from DRcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like me please

Young-Valentin
Автор

Wasaka tonge weto kwa uwezo wa Allah twende pamoja

johnjoshua-tshq
Автор

Mimi Leo ni wa kwanza from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za ibraah and whozu and bilinas weka hapa like zotee🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Tubarikii twende🎉🎉 dance 🩰🩰

OFFICIALSEMAH
Автор

Kwa jina baba, na la mwana ..na la roho mtakatifu....Ameen 🔥🔥🔥🔥

lazzbishar
Автор

Kuna msanii mpya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩jina ninita

unuoolq