Harmonize ft Ibraah - Mdomo (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
High School
After his fans named him the teacher of East African music “Teacher Konde”, Harmonize is presented as a Teacher on his second album, High School.

The album songs is his school subjects where he sings about life experiences including love, forgiveness, inspiration etc.

While he keeps his unique emotional East-African melodies, he continues to include more and more of the English language in his songs, as well as featuring artists like Naira Marley, Sarkodie, Busiswaah, Ibraah, Anjella & Sholo Mwamba.

Harmonize - High School

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #Mdomo #Ibraah
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

WaKenya kama kawaida lazima tujae hapa kwa comments ... lazima Harmonize ajue ana mafans 254

KenyaNewsChannel
Автор

Ndugu za Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. mnaniangusha Sana sometimes.. Mimi ndugu yenu sijawah pata hata likes 20 kweli?? Aah ndg zangu pitien na hapa mnioneshe tupo pamoja..

hamisizetz
Автор

Jeshi ati" watoto wa mombasa huko kenya wanaitamani ndizi ya kumenya, wanajiuliza vip umepenya mpaka tembo hapindui" gonga like za Jeshi kama umeukubali huo msatali.

ndayijeanclaude
Автор

Konde Boy's style is unique. Give me a like if you think he's gonna be NUMBER ONE soon.

mohameda.i.baranyikwa
Автор

Hivi wakenya tupo ndani???🇰🇪🇰🇪❤️ Kondegang for everybody 😜😜😜

randynebo
Автор

Wapi likes za kondeboy 1.3 million in one minute 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

moseshandsam
Автор

Anything is possible, trust the process. They doubted your singing too, look at yourself now much love from Kenya🇰🇪

janezilma
Автор

jeshi have been yur fan since enzi za aiyola na sijawai kukuona, ,, i wanna meet yu king

hillarymayodi
Автор

Team Konde from 🇰🇪 let's gather here Harmonize never disaapoint the song is 🔥 👌 💯

tiffandasha
Автор

"watoto wa mombasa huko kenya wanatamani ndizi ya kumenya" beats of that chorus is on another level. Konde Gang is Unbeatable. KE approved

staceybrihanna
Автор

Naskia huu wimbo anytime I encounter it anywhere

Kind-hearted
Автор

Jeshi gang 👊🏻👊🏻 kenya 🇰🇪 tunakupenda nipewe likes za HARMONIZE❤

kushjokersmoker
Автор

1.3m views in 1 hour another record made in the game…I salute you konde….kama unamkubali jeshi weka like 👍

saido
Автор

❤️❤️❤️❤️❤️❤️✊✊✊✊ watoto wamombasa ndio Sisi one love kondeboy🎶🎶🎶

puritymapenzi
Автор

Watoto wa Mombasa huko Kenya wanaitamani ndizi ya kumenya....pull up to the top Mr selector💪💪🔥🔥🔥

giftkafani
Автор

I have spent more than 200Kenyan Shillings purchasing data to push this talent mpaka wanaosema ananunua views wakufe kwa wivu💥💥🔥🔥💯Pure talent, Kenyan Love 💕

evebeen
Автор

Konde boy for everybody 🔥🔥🔥🔥🇰🇪💯✊🏿
Kifupi umeniziba mdomo💪🏿👌🏿
#NA_SI_ATI_NINI
#NA_SI_ATI_NINI
#NA_SI_ATI_NINI

DRIXWALKER
Автор

Watoto mombasa huko kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka tembo hapindui
Akina gari mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wananitekenya
Naulivyo na sifa unanipa tena
Yaani mpaka asubuhi
Kifupii umeniziba mdomooo

fatumaosman
Автор

Wimbo na Video ziko on top! wakenya ndio wanawatch watanzania wakitengeneza watoto tu

freshitv
Автор

Harmonize and ibraah never disappoints in music industry, show them love by liking this✔💯💯

davisTVshow