MALAYA NDOIGE (PART 01)

preview_player
Показать описание
#clamvevo #mtotoasma
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman Leo sku YANGU ya kwanza ku_comment nimeipenda Sana naombeni ata like mbili tuuu

florarenister
Автор

Ila uyo kaka bwana wake vai nimependa saaana anavyoigizaaa Masha allah

nadanasser
Автор

Vai nae Kwa kuigiza analia ni noma sana 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️🚶🚶

JumanneShingsha-ksvb
Автор

Daah maisha yetu kbsa unakuta demu anakuektia anakupenda kumbe daah

athumanimohameditengeni
Автор

Clam ni king 👑 wa comedy na huyu dada ni queen 👑 wa comedy 👑

abuyunusmohamed
Автор

Ndo ivo ilivyo. Mke Malaya anakuwa mnafki kuliko wanafiki wote duniani analia machozi ya mamba ili kuonyesha yeye hana hatia. Ao Mungu anawaona.

francescafrancesca
Автор

daaaah huyu Binti anajua kuigiza kwa hisia😂😂😂😂 nampenda jamn naomba namba yake nitafika dau, ila Yuko vzr kabsa Kwa kuigiza

juliusjoseph
Автор

clam we kweli noma unajua kuigiza ongera mnooo mungu azidi kukuonyesha njia

neematawalani
Автор

Kwa kweli mnajua mnajua mnajua tenaaa 🔥🔥🔥🔥🇹🇿

mariasmith
Автор

Duuuu mumeweza Sanaa hasa huyo binty malaya nafasi yake kaicheza vizuri saana hongereni sana washiriki tunasubiri muendelezo

shaphaina
Автор

Brother aliyeigiza ana dem malaya amevaa uhusika aslimia 100. Bravo kwake na kwenu wote .. Mko vzur sana

Ndetanaa
Автор

Wahusika Wamecheza Vizuri sana Nafasi Zao Big Up Clam

amoury
Автор

Hongera xana mnaweza Ila naomba kujua jina la huo wimbo bora nibaki mwenyew 🔥🔥🔥

josephlemi
Автор

Ukwel usiopingika ndani ya maisha ytu nimependa saana huyo sister jins anavojitetea kwa jamaa yke

elyvin
Автор

wewe dada hongera sana unajua kuigiza na big up sasa uyo dada akiegiza malaya

simbajumanne
Автор

Hee Huyu dada malaya ndo type ya wanawake weng bairam still man of the match

manyanyazakaria
Автор

😀😀😀😀huyu mwanamke hata uso wa firauni hauoni mwongo mwongo tena huyo shetani akae pembeni😀😀ila hapa mnafundisha tusiaminike wanawake😀😀😀

مكتومالدرعي
Автор

hata mimi namkubali sana huyu mdada anajua sana kuigiza sana yani tena zaidi ya sana

samtagwajuma
Автор

Uyo demu namkubal anajuwa sana kuigiza then mzur

deccosmartboemusic
Автор

Mapenzi inauwa but kufanyia mume wako mpango wa kando siyo mzuri, Ee. Mwenyezi mungu Utuhurumie ss na dunia nzima Amina 🙏

immaculatekutto