The Story Book : Yesu Alipotelea Wapi Miaka 18 Ambayo Maandiko Hayamuongelei?

preview_player
Показать описание
The Story Book : Yesu Alipotelea Wapi Miaka 18 Ambayo Maandiko Hayamuongelei?

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaamini mungu Yupo basi nipeni like 🙏

martinhit
Автор

Jamal April hujui ni roho gani uliyo nayo. Utasema mimi nipo kazini na bla bla zote lakini nakuhakikishia kama kuna kitu utakijutia kabla ya kuondoka hapa duniani ni kuupotosha ukweli kuhusu Kristo iwe kwa kujua au kwa kuto kujua. Naomba Mungu wa mbinguni kwakupitia kifo cha huyo Yesu unaejaribu kumfanya aonekane wakawaida kwa watu AKUREHEMU na huo upofu wa fikra ukutoke Kwa jina la Yesu.

danielpauljoho
Автор

Amen Amen Amen nina imani kua Mungu yupo nakilasiku namuona kupitia matendo na makuu yake 🙏🙏kama unaamini kama mimi like hap jmn

sifamugwaneza
Автор

Yesu alizaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu aliongozwa na Roho mtakatifu alifundishwa kila kitu na Roho mtakatifu na mwisho wa yote Yeye Ni Mungu ambae alijuwa MAMBO yote ndiyo maana katika umri mdogo miaka kumi na miwili aliwashangaza viongozi wa Dini waandishi na wanazuoni kwa akiri kubwa alikyokuwa nayo.

thevoiceofdeliverance
Автор

Uishi Sana brother Jamal uendelee kutupa maarifa God bless you 🙏 tujuane tunayemwombea miaka mingi brother jamar miaka mingi kwa like hapa.

sporthighlights
Автор

KAMA UNAAMINI YESU NI MWANA WA MUNGU SIO BINADAMU, Gonga like👍

bensonbarnaba
Автор

Wajumbe leo na mm nimewah nipen like zangu wajumbe

josephatsebastian
Автор

Kama unaamini Mungu yupo nipe like na weka neno Ameni🙏🙏

eddy_dejongeddie
Автор

Yesu Mambo aliyoyafanya ni mengi San yasingeweza kuandikwa yote. Ata kama mbigu ingekuwa kratasi, miti iwe kalamu bahari iwe wino hakika wino ungekwisha

meshackmlaki
Автор

Ushauri wangu kwako Jamal! Achana na story za Yesu kwenye story book.
Waachie Theologians, na wahubiri.zungumzia story zingine kabisa.

richardkonzo
Автор

Kama unaamini Yesu ni nabii toa like tujuane waumini wa kweli👍

mamuoman
Автор

Congratulations JAMAL una story yenye uzito mkubwa kweli mungu azidi kukuongeza ujuzi kaka nataman sana kuwa kama wew

JeremiahKazungu
Автор

Kutoka Burundi but naishi Nairobi nampenda huu jama kupitiliza mnipee like plz

allydavy
Автор

move hizi n nzuri zinafundisha zaidi katika njia ya imani endeleeni kuzirusha ili tujengwe kiroho kupitia move hizi za Yesu mwana wa Mungu

OmegaNelson-hono
Автор

Hata ikiwa ni ukweli Yesu aliwahi kusafiri nchi hizo ila sio kwa ajili ya kutafuta elimu sababu tayari alikuwa mwenye upeo wa juu aliojaaliwa na Mungu hata alipokuwa mchanga alipomtetea Mama yake kwenye shutma za uzinzi...Mungu ndiye aliye mkhiari na kumpa elimu hiyo angali mtoto na hivyo kwenye usafiri aloufanya, Mungu alikuwa yuathibitisha ubinadamu wake na na si eti alikuwa yuaitafuta elimu...Naomba upafanyie research zaidi hapo ili usijejipata ukipotosha wengi kwa kupitia vitabu vya watu wasomjua Mungu na kuwafanya kama mashahidi wa Historia ya Yesu... Shukran kwa research Ila usiegemee sana vitabu walivyoandika watu unaposimulia visa vya Manabii

issamakau
Автор

BWANA YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI APEW SIFAA TENA Yeye Ni Bwana Mpaka Usio Kuwa Nakipimo🥰🥰🔥🔥

epmzmusifiwar
Автор

Eee Mungu wangu uliye hai, E Yesu kristo ee Roho mtakatifu ikikupendeza funua neema yako anaesoma na ataesoma ushuhuda wangu akujue na akupokee, Amen

tranqyiltranqyil
Автор

Yesu hakuwahi kusoma dini yoyote na mbaya zaidi wabudha Ni Imani potofu ya mashetani .
Lakini Yesu siyo Isa Bari kwa lugha ya kiyahudi Ni Yeshua yaani Mungu mwenye kuokoa jina Isa linatumiwa na wapinga Imani na kupotosha ukristo.

thevoiceofdeliverance
Автор

1. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikua mwana pekee wa Mungu?
2. Kwani ninyi hajui kwamba Mambo Yote Yesu alifundisha alitowa kwa Baba Yake Mungu alie juu zaidi?
3. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikuako kabla ya ABRAHAM na aliishi Mbinguni?
4. Kwani ninyi hajui kwamba Biblia ni Neno au barua kutoka kwa Mungu wa muingu, Yehova.
Basi msikengeushwe na watu wasio chukua mda na kuisoma Biblia na kuitafakari.

Bondea-zjyf
Автор

Hakika mimi Naamini Mungu Yupo Na Ni Mmoja Hana Mshirika Wake, Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mfano Wake Na Ndo Maana Tunamuabudu Kwa Sababu Anasifa Za Kipekee Zisizofanana Na Kitu Kingine chochote.

amourworldbeats
visit shbcf.ru