MTOTO MWENYE MAAJABU (@asmacomedian9021 )

preview_player
Показать описание
#asmacomedy #mtotoasma #asma #clamvevo #clam
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani huyu kweli chizi kabisa, yaani mtu badala aombe maisha mazuri anaomba apewe demu

lopetoetaan
Автор

MashaALLAH mtt mzur sana, mwenyez MUNGU amkuze vyema

hadijahassan
Автор

masikini mtt hajui chochote akucheki tu😀😀

nasrahassan
Автор

Mashallah amazing kenya but watiching from, 🇸🇦saudi

anitaa
Автор

Jamani mtoto akiwa mkubwa aoneshwe hii video so funny 🤣🤣🤣🤣🤣

dianamideva
Автор

Mnamchukua mtoto mzuri hivi na kumgeuza jini kweli 😂😂😂😂😂😂😂😊

catejones
Автор

Nakuitaji mara moja 😢😢😢twende nyumbani tukalale😢😢😢😢

Lucy-jg
Автор

Lakini sijuwi niombe nyumba étui😂😂😂😇😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣

kalungasante
Автор

Katoto kazur kabonge mungu akukuze ila nimecheka 🤣🤣🤣🤣

janeongala
Автор

Mjukuu wangu Amelia mdada kamrithi dada

StamiliCastor
Автор

Mtòto ata anashàngaa what's happening 😂😂😂😂😂

violetnekesa-zvpz
Автор

Mambo machafu huyo malaika wa Mungu haendani nayo!!

husseinwaziri
Автор

Mashallah. Mtoto mazuri Sana mungu azidi kumueka inshallah 🙏🙌🙏

NgalaMbuo
Автор

Mtoto hata haelewi jmn waaah 🤣 😂 🤣 😂

purityrehema
Автор

Haha 😄😄🤣😂😆😄🤣😂 jamaa haeleweki bwanaaa weee mara pesa 💰 demu mke sasa hana mwelekeo tutamsaidiaje ... anyway gyz you are doing good 👍comedy 🤣😆😄

msaniiezekielkamoyani
Автор

Asma is fine cannot wait for her birthday 😍

KatherineChimwege
Автор

Omba pesa unununue gari lako jamano❤❤😂

FlocyAluoch-vbdp
Автор

Mashallah katoto karembo ❤❤❤❤❤from kenya watching nikiwa Saudiarabia

khadijaali
Автор

Hii comedy msiifute hd mtoto akiwa mkubwa aoneshwe it's so funny

LelaHassan-xvsm
Автор

Wamtunza vibaya Sasa mtoto atatoweka upate shida🤣🤣

michellesnaidah