HASARA ZA UWEZO MKUBWA JOEL NANAUKA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndiomana kwenye saikolojia ( psychology ) inatuambia kwanza tuweze kujisaidia sisi wenyewe ndio tunawasaidie wengine, pili tujifunze kusema hapana kwenye mambo ambayo hatuyawezi, tatu tuwaonyeshe watu kwamba hata sisi tunakosa na tunapaswa kusaidiwa tusiwaonyeshe watu kwamba tunajitoshekeza.

Abdulrahmanhassan
Автор

Asante sana kaka Joel nimejifunza kitu 🙏🙏🙏

AlexJefwa
Автор

ahaaaahaaa point ya mwisho imenifurahisha sana aisee barikiwa sana joel

BaisaMohamed-fjvf
Автор

1.Hofu ya walio juu yako
2.Kurundikiwa majukumu
3.Kutumika bila faida
4.Utaonekana una kiburi
IT IS VERY REAL

EMAPLUSTV
Автор

Apo umenigusa Mimi kabisa duh umenifunza jambo kubwa sana 🤝 🤝

BarakaLihani
Автор

AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏

mtengwadj
Автор

Loh! Yananikuta Sana haya uliyozungumzia. NATAMANI NEXT TIME UTUSAIDIE KUJUA MBINU ZA KUTUMA ILI TUSIWE WAHANGA NA KUTOISHI KUSUDI LA MUNGU KUPITIA CHANGAMOTO HIZI.
UBARIKIWE SANA, MUNGU ANAZUNGUMZA NAMI KUPITIA WEWE🙏🙏🙏

alhajikangalawe
Автор

Asante sana my brother from another mother

yusufuheri
Автор

ndio kilichonikuta na ninamshukuru Mungu namaliza mkataba niangalie maisha kwa njia nyingine maana bosi mwenye uwezo mdogo ni tatizo kubwa sana kwenye mazingira ya kazi, shukrani sana Joel umenisaidia kuweza kumudu maamuzi haya

beatricemwita
Автор

Hakika somo lipokolekti sana kwa anaetaka kutoka hapo alipo

neemaelosi
Автор

Aminia sana brother Una madini mnoo ubarikiwe

killindoabile
Автор

Ahsante MWALIMU...Asilimia Kubwa ya Somo Hili ni MIMI. Kazini ni Changamoto... MUNGU Amekuwa Ananisimamia. Kubwa: Masomo Yako Yamekuwa Yakinisaidia Sana Kusimama Imara na Kusonga Mbele.

MariahHamson
Автор

Kaka nashukuru sana kwa mafundisho mazuri, MUNGU azidi kukubariki

AbisaiBilla
Автор

Kweli kabisa brother Joel upo sahii hasa hiyo point ya mwisho ya kuonekana " kiburi" na pia kuombaomba misaada huo mda huna maana mda mwingi mtu utumia kufikilia maisha yake pengine baada ya miaka 5-10-20 mbele maisha yatakuwaje ..etc

DismasMazebele
Автор

Ni kweli kabisa Hali hii ipo, haswa kwa wafanyakazi walioko kwenye ofsi za taasis fulani.

Esromulussana
Автор

Uwezo mkubwa unaweza kuwa mtego usipoutumia kwa busara. Kujikuta unatumika sana bila faida ni moja ya hasara kubwa ambazo hatuzitambui mapema. Asante Joel kwa kutukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye malengo yetu na kuhakikisha kwamba tunatumia uwezo wetu kwa manufaa ya kweli.

JamesAtilio
Автор

Yupo na nimeshare nae tayari asipoeelewa na hii sijui tena

aristidessaristarck
Автор

Haya mambo yamenikuta hasa kwenye biashara...

edgardeus
Автор

Kaka Joel mimi kwanzia kwenye familia hadi kwenye kazi, vikwazo vingi, kwenye kazi narundikiwa majukuku na ikitokea mistake huwa nasemwa mimi na hata nifanye vp haionekani, kwa kwanza napewa kingine, lakin wenzangu wanasaidiwa wanapunguziwa majukumu yaan na hawajali wala nini, kwanza sifikirii kuhusu kazi napoamka ndo napoanzia lakin mmmh nikitafakari kunawakati nataman kuacha kazi.

نجمةموبيبي
Автор

Hii changamoto imenitesa sana kaka joel kwenye ndoa yangu 😭

tukuepamoja