Madhara Matatu (3) Ya Kutawaliwa Na Hasira

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante kaka!leo umenifunza jambo!swala la hasira ni tatizo kwangu, na limenisababishia kumpoteza mtu ambae alikuwa muhimu sana kwangu!nakushukuru kaka, nitaanza kujicontro kuanzia leo

ummusaajid
Автор

Asante sana bro, mi niliacha kazi sababu ya boss alikuwa na hasira hataki kushaulika hata ujitoe kiasi gani

danielmkahala
Автор

nmeipenda sana njia ya pil ntaitumia shukran Kaka

mwanamkasihabibu
Автор

Asantee sanaa mwalimu naomba utufundishe madhara ya kutawaliwa ktk maamuzi ktk kupangiwa mambo yako na mengine inakuwaje hii

abdulrahmanhassan
Автор

jambo la pili ni jema sana maan ukiongelea jambo hasira zako zitawaisha na kusahau yaliyokutokea so tumuweke na mungu mbele

RashidRashid-nypj
Автор

Asante kwa somo zuri, litanijengea uzoefu zaidi kipindi mazingira kama hayo yakinikabili, asante sana

seifomary
Автор

Asante kaka kwa somo nzuri la asubui hii ni moja wapo ya shida ambayo imekua ikinisumbua mda mrefu lakini naamini nitabadili kupitia mafunzo yako na kumwomba mungu pia

sheillahchisika
Автор

Asante nipo hapa kila siku kujifunza ...you are a really coach of really life

mwlelishamathayo
Автор

Asante sana bro Joel kwa mafundisho mazur sna, mi mbinu ambayo nitatumia ni hyo ya kuondoka hyo sehem naona kwangu ndo itanisaidia sna

mariammasatu
Автор

Asante Kaka, mm ni muanga mkubwa najarbu kujzuia kunawakat siwez kabsa. halafu niko dukan

pendonyoni
Автор

Daaa...
1.Nilitaka kuacha kazi baada ya mtu wa chiniyangu kuharibu sehemu ya kazi ambayoniliaminiwa sana na bosi wetu, kadiri siku ya kwanza, ya pili na ilyofuata wazo la kuacha kazi lilifutika kabisa.Baadaye nikaanza kujishangaa kwa nini nilitaka kuacha kazi kwa isue ile.
2.Wakati nipo shule ya msingi, nilifikia hatua ya kuacha shule kwasababu ya hasira ya kutengwa, nilienda sehemu kuomba kazi ya houseboy, bahati nzuri niliikosa ikabidi nirudi shule na baadaye nikajikuta nafaulu mtihani wangu drs la saba tena peke yangu.Kiukweli hasira nusura ziharibu uelekeo wa maisha yangu.
Nafanyia kazi somo hili kwa umakini, nashukuru sana school mate.

habibumdetele
Автор

sant sana brother my real coach..nilikuwa mojawapo but the solution Has come...

davidandrewmarius
Автор

Ndio mm ninahasira sana....sijui ni kwnn

mamafadila
Автор

No comment at all tukutane at ze top God bless u

itsmaya
Автор

Kiukweli hasira imenigharimu sana, ila nahitaji msaada wa jinsi gani naweza kuepukana na watu/vitu vinavyoweza kunisababishia hasira. Kweli ndg. Joel naihitaji msaada wako. Asante

jamesibrahim
Автор

Kila nionapo video zako lazima nipate kitu nashukurusa sana Mungu azidi kukulinda na kukupa afya siku zote

worshipertv
Автор

da leo nilipatwa na hasila sana baada ya mfanyakazi mwenzangi kunikataa kuwa sijamkabidhi ela ya ofice bt namshukuru mungu nimesamee

kassiankomba
Автор

mtaa unanishangaa kwajili yako asante nanauka

condradsimon
Автор

Brominlikua nashida na wasiliana vp na ww nje ya commnt

JstarsBundi
Автор

Asante sana mie mmojawapo ni mpole sana lkn mtu akinikosea nina hasira sana na sijui kugombana bali naumia sana maana sisemi na ninabaki na dukuduku na ninaona ni kujitesa tu. Asante sana kwa somo maana nitajitahidi kuepuka hasira kwa kupuuzia na kusahau yaliyotokea

faridamkesso