USITAKE KUJILINGANISHA NA WENGINE.

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nashukuru sana @Joel nanauka Ubarikiwe sana.

fedharmmark
Автор

Napenda sana mafanikio nannapenda jinsi unavonihamasisha kuhusu mafanikio mungu akubarik uwendelee kunihamasisha mimi nave nine inshaallah

asnaabububu
Автор

Kiongozi wangu ubarikiwe sana kwa Masomo unayoendelea

macksemuyango
Автор

Hawa watu wanaoweka alama ya dislike ktk videos za Joel Nanauka watoe na maoni ili ifahamike kuna kasoro gani! Hili jambo linanikera sana

nassoromussa
Автор

Nafikiri kwamba natakiwa kuwahudumia watu wa kila rika kutokana na kipaji changu lkn kwanza mpaka nibadili mazingira

monicacharles
Автор

Kaka uko very good, halafu hauegemei upande flani, big up Sana

mmbatizaji
Автор

Me ni dancer nihisi walengwa wengi ni vijana au wasanii ambao wanakazi kama ya kutoa miziki n.k...ila bado sijawahi pata hata mmoja

Craytos_Baraka
Автор

Mimi ni mwandishi... Na motivater kuhusu

Chk
Автор

Kipaji changu kinagusa watu WA aina zote

franknachimbinya
Автор

Je? Nawe ni mvivu wa kusoma vitabu??.. Hivi hapa visingizio 9 na ufumbuzi wake👇👇

bundukitv