Israel Mbonyi - Sikiliza

preview_player
Показать описание
stream at

Follow Israel Mbonyi at

Contacts :

Sikiliza Dunia
______________

Verse:
Kwa Sasa ya dunia
Kwangu Ni kama yameangikwa
Yaliyokuwa faida
Nayahesabu kama hasara
Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako.

Chorus:
Nimehesabiwa haki
Kwa damu yake mutetezi
Jina langu Limeandikwa,
Kwenye kitabu cha uzima
Sikiliza dunia ,
Ujuwe kwamba mimi si wako

Verse:
Sasa maumivu Hayanitishi
Nitayasahau kwa Yesu
Haijadhihirika nitakavyokuwa
Tutafanana akidhihilika
Éwé mbingu Yakiri Haya maneno
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako

©12stonesRecord
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

May God bless your heart as you watch and Listen, May he hears, answer your prayers and heal your Heart.
for the English subtitle, Click on the YouTube subtitle button [cc] .

Mbonyi
Автор

Kenyas🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gather here tupige like Kama unataka Israel Mbonyi akuje Show Nairobi 💪💪

franklinekingstar
Автор

Kama wewe ni mkenya gonga like , let's show Israel some love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

fiderismwendemwende
Автор

Kenyans if you want Israel mbonyi concert in Kenya let's gather here
This man his songs are masterpiece such a blessed soul❤

beatricebwonda
Автор

Wapi vijana wa Yesu kutoka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania, weka likes hapa ishara ya upendo k wa wote

solomongideon
Автор

Inaonekana Kenyans ndio tunampa Israel mbonyi support kwa wingi nipeeni likes jambo kenya

freshianderitu
Автор

Mbonyi is more of a Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪than Rwandese.
Comment section ni Kenyans.
More Grace Brother Mbonyi

doriskofficial
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tunakupa likes kweli na maombi tunatuma kwa Mungu hadi ufike Kenya

ochiengdennis
Автор

Kenya Ndiyo tuko wengi piga like kama wapenda Israel Mbonyi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

SoniaMso-ui
Автор

Kenyans mko wapi? Chapa like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

NanikamaYesu
Автор

Kenyans hallo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you sir and your ministry more grace

shelmithkinyua
Автор


Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi jameni, let gather here🥰🥰🥰

Cherry-khsc
Автор

Nawapenda sana n'a kusapoti garama hii maana ni zawadi kutoka kwa kiti cha neema châke Kristo Yesu Bwana n'a Mwokozi wetu

DanielManu-vy
Автор

Who else wants Israel to come perform in kenya❤

fiderismwendemwende
Автор

The way Kenyans support others 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 umoja undugu na upendo Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

EvieDovesliliy
Автор

Mimi kama mkenya wacha nisign register 2024 October ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Misskibui
Автор

CLEARLY KENYANS ARE THE MAJORITY HERE 🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️

Ellena
Автор

Kenyans we dont dissapoint ..wekelini likes mungu akituonekania

angelamwende
Автор

Am amuslim but wenever i hear your songs it kinda change my iman and am like wow it hits different spiritually be blesed InshaAllah

mohammedchidi
Автор

Praying for Israel Mbonyi a gift to this generation....he sings pure scriptures ...long live

bishopkallen