Siri 5 ili kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio.

preview_player
Показать описание
Anafafanua Mohamed Dewji alipokuwa akizungumza na mtangazaji wa BBC Salim Kikeke jijini London
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thanks a lot mwalimu Mo Dewji kwa sehemu hii ya mafanyikio unayo tupa. Long life to you

bukurur.jeandedieu
Автор

Bado naitwa Mohamed naamini kuna muda nitaitwa MO insha Allah

mohamedmiraj
Автор

Umenena sahihi kwani wengi wanapenda sana umbea zaidi

babaharunakipindula
Автор

Kuna Muda Nilikua nakufuatilia na nikafanya vya maana Thankyou moo

shangwekamando
Автор

Sana Baba type elimu ya maisha tufikie malengo,

sospeterwilliam
Автор

TUJITUME
DISCIPLINE
MUDA WA:
KULALA
KUAMKA
KUFANYA KAZI

samwellwiza
Автор

Shida kubwa iliyopo kwenye taasisi za kifedha, ni riba kwenye mikopo ndiyo kikwazo kikuu...

vitalcool
Автор

Suala na kusoma ni asilimia ndogo sana ya watanzania wanalipenda.. na kati ya hao wengi wanasoma yasiyowasaidia kiuchumi, wanasoma stori za kuburudisha zaidi ya kuongeza elimu/ujuzi. TUSOMENI VIJANA!

brobabuu
Автор

Mkopo nao dah🤭🤭mikopo inafilisishana pale ukiyumba

KevinJohn-tfgv
Автор

Kwa mm kwakwer nishaa kata tamaa yamaisha kabisa iki wezekana tuu mwenyezi mungu anichukuewe tuu ir niepukane nashida hizi nasema hivo siokwamba sijitumi najituma sana tena sana mpaka nchizanje nimefika lakn bado kama nihizo biashara zaina nyingi tuu

mubasanta
Автор

Kaka Mambo vp mm nataka kuwa mjasiria Mali nifanye vp

shaibhamis
Автор

mo tumekuerewa vema na pia binafis enderea kutupatia darasa ni ni zuri sana yani

deokanyerere
Автор

samahani lakini najua uwezi kumpa mtu Siri ya mafanikiyo yako samahani lakini naomba uniambie we ulikuwa unasoma vitabu vya aina gani?

MichaelErnest-doyc