FAHAMU MABO HAYA KUHUSIANA NA HASIRA - JOEL NANAUKA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mimi saana nlimkosea ndugu yangu njuu ha hasira nlimwambia ntamuua juu ya shamba Badae nkamuomba msamaha Na akanisamehe najilaumu Sana nifanye je.from Kenya.

samuelwanjiru
Автор

Du!ama kweli hasira ni hasara na majuto, umesomeka mkuu umegusa penyewe👍

sarahmtenga
Автор

Inaniuma sana nirimkaribisha rafiki kaniumiza nakanifirisi ira namshukuru mungu

issa.a.k.nangena
Автор

Hasira ni adhabu unayojipatia mwenyewe kwa kosa la mtu mwingine. Joel Nanauka

hassanmoalimmuse
Автор

Amina Yani Ni Ukweli mtupu Japo Ukweli hua Unauma lakini Ni Dawa Ni Uhai

Udindigwa
Автор

Hasira imenifanya nigombane na ndugu zangu wengi wa karibu ubarikiwe kaka kwa elimu nzuri unayo tupatia

ramadhanalmashamza
Автор

Brother umeongea fact👏👏 darasa zuri pongezi kwako 🇹🇿🙏.

nurdininanjota
Автор

Kweli kabisa hasira zinaharibu maisha ya watu wengi sana👏🔥🔥

allyhussein
Автор

Namna ya kuishi tofauti na elimu ya darasani

uwezo
Автор

Hasira imefanya vitu vingi kuharibika sana tuwe makini na maamuzi tunayochukua tukiwa na hasira.

dogemushi
Автор

Umegusa mule mule brother Nina mdogo wng wa kiume nampenda Sana lkn kuonesha upendo imekuwa km fimbo ya kuniadhibia anaweza kaa Ivi akapiga cm nataka laki 5 unampa baada ya wiki kazaa anakwambia biashara mbaya unampa tena anarudi ukijaribu kumuliza anapayuka na kuona unamfatilia maisha yake mara tatu nzima nimempa mtaji lkn sioni Faida hasara ndio nyingi ukijaribu kumpa ushauri asee ana maneno makali Sana ashawai niambia akifa nisimzike na wala hataki undugu na mm hapo ni baba mmoja mama mmoja kutoka mm anafata yeye lkn hapa nilipo nimechoka juu yake nimelipa madeni mengi Sana na kesi za hovyo nimechoka sitamani ukaribu nae wala mawasiliano 😢😢

khadijakisingo
Автор

Niliwahi kupigia migambo Nika lala rocoup wao hospital likanighalimu sana Leo ume niongerea Mimi Barikiwa sana.

abrahammwambije
Автор

Asante sana ✍️✍️ Hasira zimeharibu maisha ya watu wengi mno

kelvinkibenje
Автор

Hasira mm binafsi imeshaniachanisha na mtu ambae nampenda sana mpaka leo hii!!

nassoromussa
Автор

Hujakosea kitu broo kila nikikumbuka nimelia afu najutia kwa kweli some time najiuliza nimie lkn

abdillahomar
Автор

Mimi Nina hasira na siwezi kumsamehe mtu mapema hata nisipo mchukia nitaongea nae ila simtaki Tena hata awe ndugu yangu nakua simwitaji kua karibu tena

lydiamwaipungu
Автор

Nikweli hasila imenifanya nipodese malafaki wengisana, kwahakika umenisaitia kwakwuli

fredwakoli