Aina 4 Za Ujuzi Unaohitaji Kwenye Maisha Yako

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kazi yako Ni njema Sana ..Mungu akubariki kaka Joel unagusa Maisha ya wengi...

dannyerasto
Автор

Pia umebadirisha Sana maarifa yangu tangu nilivyo anza kukusikiliza duh...Mungu awe pamoja na wewe na ubarikiwe Sana Kaka

bernardmwangosi
Автор

Bro unanibaliki sana so smart mind Mungu akubaliki sana

nathanielshauri
Автор

E bwana, wewe ni noma. Mungu akuongezee skills na hamu zaidi ya kutufunza. Nimejifunza mengi sana toka kwako. Nakusoma toka DRCongo.

fanyfox
Автор

Barikiwa sana mkuu masomo yako yaminibadilisha sana

nemmymtango
Автор

Unafundisha vizur sana Bro!! Ure so inspire me, GOD gives more strength and implement ure needs!!

cosmaskiria
Автор

Kaka joel, 2021 nipo na wewe bega kwa bega mpaka December maana najua upo na nguvu kubwa sana ya ushawishi wa mtu kufikia malengo yake👍🙏

felixjoachim
Автор

Wow! It is awesome topic I appreciate brother be blessed

nicodemustemu
Автор

Thanks again brother Jo. I personally need all of them because am still a start-up.. through these teachings I promise to meet you at the top.

edsonerick
Автор

Asante mwalimu Nanauka na hiyo nyimbo ya back ground ndo imezidi kunipa hamasa na kuamini ipo siku mimi nitakuwa pale ninapofikiria leo

samoocoolingsystem
Автор

Asante brother joel kwa ushauri na maelekezo yako

cleopatraadolf
Автор

Asante kaka naendelea kupata ujuzi na kustawi kula ihitwapo Leo be blassed kaka

alisiaalex
Автор

asantee Sana Kaka angu sijui nikulipe nn nabaki kuku ombea

johariphilemon
Автор

Asante sana kaka Joel. Mimi nahitaji kukuza Presentation skill.

anthonyrwaitale
Автор

Ahsante sana kaka Joel nanauka nimeanza siku kwa kujifunza Mambo muhimu kabisa

jasonjastinmatandala
Автор

Networking and presentation skills broo

vicentshonyela
Автор

Nahitajii presentation na hiyo ya mwishoo

gatekabel-benit
Автор

jinsi ya kujibrand ma bro..huwa nauza mafuta mazuri sana halisi ya nanzi...

adelaidanyange
Автор

nahitaji huo ujuzi wa kuuza zaidi kwa kwel

Kenyducksfams
Автор

Ahsante kwa elimu yako, nimependa sanahii kak but kuna mtu niliwahi kumsikia akisema "tunapata kile tunachostaili sio tunachokiomba(kwa Mungu)"
Sasa utofauti wako na yey ndo unanichanganya mkuu🤔🤔

pawnyakyeelwa