Darassa ft Marioo & Nandy - Loyalty (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Enjoy Darassa’s latest music video Loyalty ft Marioo and Nandy from the album Slave Becomes A King.

#Darassa #DarassaSongs #ZiikiMedia

Follow Me on:

Digital Distribution and Promotion by Ziiki Media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

likes zao plus za Nandy pia🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😵😵

romantiquortiflah
Автор

Watanzania na wapenda Sana.. Wakenya nawapenda Sana..mapenzi tele Toka Mombasa Kenya.🇰🇪🇹🇿🇺🇬

kingkevin
Автор

Sauti tuu alafu Nandy hapo na loyalty 😍💯❤ ukikamilisha na Darassa 🥵💥💖
Love from kenya 🇰🇪

jamesmwangioduor
Автор

Mapenzi unataka uyape respect, assurance, commitment.

Mapenzi sio kitu kama pesa ya benki umpe mlinzi bunduki

Fav part of the song😍😍😍😍😍

evecristiano
Автор

Marioo wewe jamaaa unajua sana kuimba mapenzi ngoma nzuri Sana

Chugacomedyofficial
Автор

Nani anaangalia hii video huku akisoma comments Kama mm kuja hapa tujuane Enjoy good music nawapendaa wote 😍🌹😍

muniraahmed
Автор

Marioo ako na such a unique voice in Tanzania 🇹🇿 💖 💓 😌 wapi likes zake

philipdapash
Автор

Noma na nusu, waliongalia zaidi ya mara moja gonga like twende sawa

johnsamo
Автор

Ndugu zangu nimekuja mapema nipeeni like jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

newboy
Автор

Wanaosema hii Ngoma ni Kali na nusu gonga like hapa.

gavanajoe
Автор

ukiniona nalia nifute machozi jua ukiniona nalia nalilia mapenzi

tosh
Автор

King Kiba bado naiskiliza 2024, good music live forever❤

adamhashimu
Автор

Kama unasoma hii, Nina hakika hatujuani ila najua kile wapitia, najua vile Hali ni ngumu, ila nakuombea yote yatakua sawa, ♥️

erickbright
Автор

As kenyans🇰🇪🇰🇪we approve this song🙌much love from 254🇰🇪🇰🇪

yobramwasi
Автор

Marioo takes the first 44 secs of this track.And totally kills it.Engaging vocals!🔥🔥🔥

danielm.anunda
Автор

Burundi tupo tunapenda ngoma za kibongo hususani marioo nandy darassa bila kusahau kondeboy

juvenalMuyomba
Автор

Nilikuwa na subiri muda murefu iyo ngoma. Rwanda muko wapi ? gongen like zenu

sibomanahamada
Автор

This is what we call talent marioo Darassa nandy big up😙😙😙😙

ode
Автор

Nilisubiri sana but now nimefikia penyewe sasa!! Love this song 🙏🙏

idontgiveadamn
Автор

This song is on another level 💯 likes za Darassa, Marioo na Nandy zikam through

raddieaaron