Nandy feat Alikiba - Dah! (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Nandy featuring Alikiba performing "Dah!" After an outstanding performance of the Original version "dah" by the african princess that has gained maximum attention from the music fans, now "DAH!" with King Vocals (Alikiba) to spice up this beautiful tune have been brought to life, with the lyrics paiting an artistic love expression from both artists with both artists flexing and showcasing vocal gymnastic abilities through out the song. Enjoy this tune and uplift your musical experience today (c) 2024 The African Princess, The Music Video was shot in Kisarawe,Tanzania, Directed by Folex.


Listen to Nandy on Digital Streaming:

Connect with Nandy on Social Media:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Nandy

+For More Information Booking Alikiba:

©2024 The African Princess.All rights reserved.

#Nandy #Alikiba #Dah
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Allihmullihah bado No1 on trending bila hata kulipoa sponsored. Wapi Yule jamaa aliyejitapa atashika namba moja Hadi July 2024

ShariffCharlesSangabo
Автор

Mziki mzuri Sana huwezi kuchoka kuusikiliza na unayempenda vile vile mafunze kwa Wingi, mniruhusu niwavishe Mandy na Alikiba taji👑👑👑 kwa wimbo huu mzuri🎉🎉

berryxmsanii
Автор

Dah!! kweli hii ngoma ni kali mpaka leo haitaki kushuka chini🙌🏼🙌🏼🙌🏼

juliusnyambo
Автор

Swahili is the sweetest language in Africa kama unaniunga mkono gonga like 💪💪💪

kevinrajabamulo
Автор

Mfalme na Bintiye...Dah kiukweli imetanda hii Nairobi Kenya

piusmureri
Автор

Mwanzo wa hii ngoma ulitiliwa maakini sana maanake upo thabiti kabisa, , , my best Artist from Tz Ali k and Nandy natural beauty gal bila mambo mengi, much love to u guys u nailed it Wallai❤

annyleycoyney
Автор

This Song Non-Stop 🔥🔥🔥. Itakaa Trending mpaka Mmoja wao atoe Goma Lingine 😂😂😂

razakilipwelele
Автор

Mara yakwanza nacomment ngoma kali dada angu unajua ujawa kukosea kabisa sauti yako2 me hoi

urhjeiz
Автор

Msanii anayependwa na wakenya especially mombasa we love you king

andersonmberi
Автор

Nimekesha nikiskiza nyimbo hii moja TU love you Kiba milele Nandy nakupe sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

lucydeche
Автор

#Nandy hiki kibao kinakubalika sana hapa kwetu KENYA 🇰🇪👏👏👏💞💞Mitaani kote kibao kinapepeta midhili ya upepo🇰🇪👏👏👏👏🙏🙏🙏💞💞💞💞

luckydavesimba
Автор

I don't understand any word but I could feel the song in my heart and soul, my heart understands everything. This is music ❤❤❤

slxdxzl
Автор

Apo Kwa turn taking mumeweza aki 😁 song for generations 😁❤️💯💯

mohamedtsuma
Автор

Kwa nyimbo za mapenzi Simba atasubiri sana, king Kiba anajua sana🔥🔥🔥🙌

muhammedkhamis
Автор

this song kiukweli aichoshi Kuna melody ya tofauti kabisa na wao, like nyingi Kwa kiba ameuwa

kijaboy
Автор

I was playing this song so loud until my neighbour called the police. When the police arrived, they called the prosecutors, the prosecutor came and then he called the judge, when the judge came, he sentenced the neighbour for trying to kill the vibe🔥🕺🇰🇪🇰🇪🇰🇪

macjames
Автор

❣️❣️nampenda sana alikiba from my heart anajua hajawah kubaatisha jmn ❣️❣️love much kiba and nandy

titxfzq
Автор

Tanzania don't know how much we love your music from kenya

alvii
Автор

❤ The African princess ndo msanii wangu bora Bonga Land ...watching from Turkana County, Kenya 🇰🇪

yohanapedomusic
Автор

Alikiba na nandi mziki uzimwe sasa ..maana..nyinyi..ndo king na queen 👑..kenya tuna wakubalìa

SimonMwai-qnnj