Marioo & Harmonize - Naogopa (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Marioo featuring Harmonize performing ''Naogopa'' (Official Music Video)

Listen to Marioo on Digital Streaming:

Connect Marioo on Social Media:

+For More Information Booking Marioo:

©2023 Bad Nation.All rights reserved.

#Marioo #Harmonize #Naogopa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Harmonize' cough has become one of the hardest signature drops😂😂😂and that Todii by oliver mtukudzi sample oh my, give harmonize his flowers already🔥🔥🖐

sktchyu
Автор

Sitaweza kukuchunga mbele za wenye mipunga has to be one of the most honest and realistic lines from Harmonize.

karanjaedwin
Автор

Daah, Huu WIMBO umenigusa Mimi kuna demu wangu kila siku haishigi kuwa na makasiriko hivi nifanyeje Jamani, Daah Ila mapenzi jamn yana Siri nyingi... 😢😢😢❤️❤️💕💕❣️❣️

KibweOnlineTv
Автор

really to be honest..hii mwimbo unaeza rudia ma 50 am in love with song..nani akona mimi kenya people give me..am in turkey 🦃

aliceauma
Автор

Riziki yangu papatu papatu mara nilipe vikoba upatu ❤🎉

andrewraphael
Автор

Harmo ume kill sana🔥🔥sijui wewe vocal zako utoka wapi, waaah, wewe ni tembo kweli, uwezi ukaangushwe, ao kutuangusha, proud of you jeshii

japonaiskizabizibira
Автор

Hii nyimbo inazungumza kila kitu tunachopitia sisi vijana wenye uchumi wa kawaida kuna mengi mazuri tunatamani kuwafanyia wapenzi/wake zetu ila hali hairuhusu. Hii inaweza kuwa ndio COLLABORATION kali zaidi kwa mwaka huu kwa upande wangu. Mziki mzuri sana.

shokajr
Автор

2:15 "riziki yangu ya papatu papatu"...Harmonize really knows how blend them harmonies

neshavelli
Автор

Yani Easy Africa ni mandugu zetu wa Tanzania wanatuwakilisha kimuziki WA hivyo tuwape support🔥🔥🔥🇰🇪Love from Kenya manze

jaydimax
Автор

2 EAST AFRICAN GIANTS = Worldwide hit 🔥🔥🔥

PresenterAli
Автор

I love they way they delivered this song they are a masterpiece 🔥🔥🔥 Kenyans let's show them some love🇰🇪

leshkidmswatiiofficial
Автор

Aki tz wangetupa ruhusa tuje kwao kila siku, tungeishi huko milele. They give Africa lovely songs

kennedyIAM
Автор

Bonge la hit song lenye hualisia ...Ngoma nzuri Sana 🔥

Chugacomedyofficial
Автор

Kwetu si tunasherehe maana mapenzi si makasiriko
Kwetu ni furaha tele maana mapenzi si makasiriko. Aaaahh Hata my love baba mwenye nyumba kodi apige kelele oohh my love❤😍🥰#naogoa i love the song so much🇰🇪🇰🇪

benahrichyKE
Автор

Harmonize got the best cough I have heard so far in music industry 👌🔥🔥
Give that like for harmonize if you agree 💯

wiseman
Автор

Marioo's voice is perfect. Harmonize flow is on another level. Perfect blend

nicxonmutinda
Автор

Harmonize deserves to be where he is right now👍

amiduchiller
Автор

MARIOO

Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko ah haa
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
Hata kama tukishindia tembele
Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love
Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa

HARMONIZE

(yao yao)
Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa
Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawaza
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga

Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more
Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more

CHORUS

Mwenzako ooh
Aah aah aaaah naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Baisi kiota changu kiona choyo
Aah aah aaaah naogopa
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaah naogopa
Na na na na hi aah
Konde boy call me number one Bahkresa
Mimwenzako naogopa aah
Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)

jumapatrickkurwa
Автор

Hii ngoma yanigusa sana kazi safi big up marioo ft teacher konde

jaymadofficial
Автор

Harmonize' cough has become one of the hardest signature dropsand that Todii by oliver mtukudzi sample oh my, give harmonize his flowers already

KINGSAFROBEAT