Nandy feat Harmonize - Acha Lizame (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Nandy featuring Harmonize performing (Acha Lizame). The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Alves.

Listen to Nandy on Digital Streaming:

Connect with Nandy on Social Media:

+For More Information Booking Nandy
Contact : +255 713 334 294

©2020 The African Princess.All rights reserved

#AchaLizame #Nandy #Harmonize
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hebu na mimi nipe izo like nione zinamaajabu gani maana wengi wanaomba
Ngoma iko🔥🔥🔥🔥🔥

mamupesa
Автор

254 Kenya hatujaachwa nyuma🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes zikam through.

RahzyQueenter
Автор

It's now 2023, and this song is still on a big hit! Wow! Nani pia anafeel this song like me here in Kenya, 🇰🇪, 🇺🇬 and 🇹🇿?

emmanuelbrownofficialke.-n
Автор

Kama umegundua Dada etu Nandy kanenepa as anatingisha msambwandaaa Gonga like twende sawaaaa, 👍👍👍👍🤴🤴🤴🤴#ACHA LIZAMEEEE 🌅🌅🌅🌅

saidbenedict
Автор

Ngoma kali sana, konde ww ni mtu hatari sana umeuwa kinoma, Tembo

dalilaabeid
Автор

Konde boy kaua tiyar upande wa pili wanatafutana kama unampenda konde sema

joanesjoseph
Автор

Hii hatari sana nimerudia kusikiliza more than 25 times 💥💥💥 like kama umesikia mkonga wa tembo

athumanjuma
Автор

Yani huu wimbo nimeusubiri ufike Saudi Arabia umefika saa hii 🤩🤩🤩thank you Nandy

joycegacheri
Автор

Nakukubali jeshi la mtu mmoja THE AFRICAN PRINCESS 👸

isladelee
Автор

Bahati hii ndio maana ya kuitwa tembo🔥🔥🔥🔥🔥

hudsongabriel
Автор

Kama unamkubali NANDY na HARMONIZE pamoja na kkubali wimbo huoo basi gonga like yako hapo

babynuumkubwa
Автор

Haki sijachoka kutizama hii nyimbo vile Nandy ametingisha uko nyuma 😳 nipeni like zenu from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

tantinebettynduwimana
Автор

Wenye warikuwa tunasubili hili ngoma nipe likes ata 100

abeltuyisenge
Автор

Ladies from kenya, ug, tz, rwanda, burundi, sudan, somalia, Ethiopia usimnyime nandy likes pls

bilhawilliam
Автор

Hiyo nyimbo kiboko ya diamond na zuchu ilike this song so much ❤

aliabdalla-pkjw
Автор

Team Konde Boy naomba likes zenu... LOVE from BURUNDI

rhodystv
Автор

Nandy harmonize 😍😍😍 harmonize for life😍😍 Kenyan love.
Wapi like za kondegang 💯💯

muchirifredrick
Автор

kama unapenda hii ngoma ♨️♨️♨️♨️💯💯💕gonga like tukisonga🙌🙌

brendakwamboka
Автор

Nandy haki ya Mungu nakupenda tu bure❤❤❤ Lakini I know you can't love me back ofcourse, ,,But kukosa na kupata yote majaliwa🤣🤣 anyway Love this song🤏🤏🤏

lilnajboy
Автор

Jeshiii !!!! Unapenda vya Giza Giza, 🔥nimecoment, like kuudhi wasafi Tu... This is fireee🇰🇪🔥🔥🔥

essekabisah