Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)

preview_player
Показать описание
Music by Darassa featuring Zuchu performing "Romeo" (c) CMG Group 2024

Listen to Darassa on Digital Streaming:

Connect with Darassa on Social Media:

Connect with Zuchu on Social Media:

Written & Performed by:Darassa & Zuchu
+For More Information Booking Darassa:

+For Bookings Zuchu:
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)

©2024 CMG.All Rights Reserved

#Darassa #Zuchu #Romeo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mimi ni shabiki wa DARASSA LAKINI SIJAWAHI PATA LIKE KWENYE NYIMBO ZAKE 😢😢😢

erickabel
Автор

Darasa kila siku ni hit song...hachoshi...RESPECT

globaltv_online
Автор

Kama Unakubaliana Mimi Mr. Burudani Ameuwa Humu Ndani Nipeni Likes Zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

jaekygraphy
Автор

Kama unakubali darasa ana style ya kipekee kwenye kuchana na zuchu ni mkali wa sauti GONGA LIKE YAKO

lilmojr
Автор

Ntarudi huku tena kuiskiza wimbo huu mtamu mkinilike🎉💯🔥🔥

Tropikanalyrics
Автор

Tunaoamin hii nyimbo unaenda trending nomb 1 na itakaada mrefu sana huko kileleni gonga like hapa tujuane

AnuaryShedafa
Автор

Zuchu ni namba nyingine, sema ni vile anakubalika sana na wanaume

successpatience
Автор

mimi ni fan wa Darassa na Zuchu sababu ya uandishi wao.. hii ndio zile nyimbo unaziona na kuclick chap 👏

emmakiwaya
Автор

Walai.naomba like zangu maaan nakufa mimi nahii myimbo apo tu romio please

catherinemapendo
Автор

Im from 254 ngoma yamoto ii haipoi, na nikipata likes tano nitafurahi subs guys

Qqambaa
Автор

Darasa ajawah kukosea ila kwa hii ngoma imezidi utamu zuchu ametulia kaimba kiutu uzima ngoma romantic❤❤❤❤❤❤

StarGwanta
Автор

Tunakubali Bi zuhura ameitendea haki, gonga likes 👏

Mr.cantana
Автор

For kenyans who appreciate this two artists lets gather here ... drop that like

mindrevolt
Автор

Wale wa gud vibes real melodies na mziki bomba tu gonge like hapa 🎼🎼🎼🎧🎧🎧

khanholbes
Автор

Waw nice song wameuwa kitu tamuuuu na tofauti

qamaryasalim
Автор

Mr Classic..CMG ceo 🔥💯🙏Hii ni zaidi ya kazi safii wakuu#official Zuchu 🙏well appreciate

Vj_Tally_
Автор

Darassa unajua baba la baba umekiwasha na umetoa darasa you're a living legend 🚀🚀🚀🚀

Mask_ff
Автор

kama unamkubali zuchu usiache kuachia like apo

mamdecute
Автор

Kama unaitaji tuzo iende kwa DARASSA gonga like yako hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥

KhanRapper
Автор

Always making perfect delivery japo ni kama zuchu kapendezesha sanaaa#Darasaa ndo jina alilopewa na mwana FA

giztony