Mimi Mars Feat Young Lunya & Marioo - Una (Official Video) Sms 9507013 to 15577 Vodacom Tz

preview_player
Показать описание
Mimi Mars Teams Up with Young Lunya and Marioo.


Tanzanian Pop Darling Mimi Mars releases the follow up to her hit song Ex Remix, UNA. The color Bongo Flava track sees Mimi Mars collaborate with freestyle King, Young Lunya and SOUNDCITY Award Best NewComer Nominee, Marioo. This end year anthem was produced by Baddest 47 and Paul Maker. Spiced up with great production from some of Tanzania’s hottest new producers and a video shot on Dar Es Salaam by Director Ivan. Mimi Mars closes the decade in style. All rights reserved to Mdee Music. Enjoy new Mimi Mars.

Mimi Mars on Social Media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wale ambao hatuchoki kurudi zaidi ya mara 3 kuangalia hii ngoma tuna like hapa👇👇👇 kwa pamoja. ili mini, lunya, mario, wote wazione.

samguide
Автор

Team Mario n Young lunya wimbo we2 huu🔥🔥🔥🔥

niclasandrew
Автор

Yani huu wimbo naupenda sana yani kila nikimuona lunya tuuuu mimi hoi

raditech
Автор

Mariooo uwii nitakutafuta nikuombe tufanye kazi sio kiki ila nimziki 💥💥💥💥💥

roynnetalent
Автор

Atar sana izi Ladha ya tz mziki mtamu mim mars Mario. Lunya so amaizing

raphaelmgimwa
Автор

Wale ambao tumerudi leo kwa mimi marss la UNA

anithamsaki
Автор

2023 here, still song hits!! My favorite song up to this year 👐love you mimi mars

seneequamoyo
Автор

Hii ngoma kiukweli badest 47 umefanya bonge LA bit huwezi amini mwanangu ume kill hii ngoma mimimars fire marioo fire

shilingiph
Автор

Watoto wa kanda ya kaskazini..Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha like zenu

goodluckmbaruku
Автор

Bado naikubali sana hii ngoma, Marioo ulitisha sana

CideBoy-uzim
Автор

Hili goma mmetisha wote hamna alobaki nyuma like 👇 tujuane wale tulioijua hii ngoma kuwa haijakosewa

nindwakulwa
Автор

Huyu #Marioo huyu naomba like zake jamanii

jacksonmataro
Автор

duuh hii nyimbo sio yakukosa M1 viewers ad leo asee kwl watu hawajui vtu vzr

princemallya
Автор

Oyooo lunyaa boy juu aiseee wote kwenye i ngoma big up mars best planets hhh keep on work Mario big boss

sarahmawazo
Автор

Duuuh hi ngoma kali bhn gonga like km umeikubali

petermathew
Автор

namtazama younglunya kama msanii mkubwa wa hip hop ajae africa nzimaa!!!

mtumishi_hewa
Автор

Kama imemuelewa Toto bad ngonga like apo chin

christopherkengema
Автор

Kuliko upate like za Mario uko una una una pata like za mimi mars

youngkingbaddmankiller
Автор

Yani nilivyosoma tuu majina ya hii combination, mimi mars, young lunya na marioo, niligonga like button kabla sijafinya play.Kama kweli ngoma yenyewe ni 🔥🔥

andrewmlamba
Автор

Kama unamkubali marioo weka like twende sambamba

chanzimusictz