Zingatia Haya Kama Mambo Yako Hayaendi Sawa

preview_player
Показать описание
Kupitia video hii unakwenda kujifunza mambo muhimu ya kuzingatia ili kuweza kuondoa mikosi inayokukabili haraka
..........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------------
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwanzo wa mazungumzo yako nilihisi Kuna shirki ndani yake lkn nikakupa nafasi na uliposema "huenda wazazi wako wamefatiki basi nenda kwenye makaburi yao na useme shida zako wazitatue"huu ni ushirikina moja kwa moja, haifai na hapa naongea na waislam, na pia natoa hasara anayoipata anaemshirikisha M'mungu, amal (matendo mazuri aliyofanya na akalipwa dhawabu)yote ufutwa, kwa kumshirikisha mara moja tu M'mungu

mwaramimwarami
Автор

Napenda ❤ mafundisho yako nikiwa Kenya

eunicewambui-vk
Автор

Ahsante sana doctor nimekuwa nikiangaika kwa muda mrefu bila mafanikio kila ninachokigusa hakigusuki na baadhi ya maradhi yamekuwa yakinisumbuwa na nakumbuka baba yangu alitamka hiyo kauli ya hayo magonjwa yanayonisumbuwa mpaka leo nimehangaika bila mafanikio ahsante doctor nitarud nyumban nikaongee na baba huenda maradhi yakapotea

neemalyimo
Автор

amen ubarikiwe sana kwa maelezo mazuri

jemimmahjembe
Автор

Upo vizuri Kaka Asante Kaka umetukumbusa kitu chamaana 🙏🇿🇲🇰🇪🇿🇦🇹🇿🇨🇩

WapekeeMwashua-oofv
Автор

Asanteni sana mwalimu ni jambo la hakika mzazi ni wa maana sana .

ezekielmwamba
Автор

Asante sana kwa somo nzuri, barikiwa sana ❤❤

rosemarry
Автор

Kweli kabisa kwahilo hata mimi ni shuhuda

MelissaSaidy-qi
Автор

Swali doctor..kama mzazi ana ubaguzi anapenda mtt mwenye hela...wewe hata ukipata kidogo kitu haoni kama ni kitu ..na hata ujinyenyekeze lakini bado habadiliki..Unayosema ni kweli ila rudi na kwa wazazi pia.

angelinasendwa
Автор

Wengine tumesumbuliwa na mambo ya sio eleweka na tuko na wazazi wetu vizuri ila matatizo yamejaa kibao kipi tuafanye?

rizikivincent
Автор

Inawezekana wazazi wote walifark kwa ajal ya majin na miili haikuonekana je?nitakwenda wap?

gersonsapali