filmov
tv
SIRI 7 ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUMISI KILA MUDA MPAKA AHISI KUCHANGANYIKIWA- Johaness John
Показать описание
SIRI 7 ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUMISI KILA MUDA MPAKA AHISI KUCHANGANYIKIWA- Johaness John
#fafanuomedia #mpenzi #siri #johanessjohn #mrjusamelim #chrismauki #mahaba #mahusiano #mapenzi #johanessjohn
SIRI 7 ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUMISI KILA MUDA MPAKA AHISI KUCHANGANYIKIWA.
Wenda umeiona kauli hii kama tata na kama haiwezekani. Lakini nataka nikupe uhakika kwamba ukiweza kuzigundua siri hizi na kuzifanyia kazi . Basi utapata majibu asilimia Mia na utanipongeza kwa mafunzo haya kwani hutoamini macho yako kabisa.
mpenzi wako akupende zaidi na kuchanganyikiwa kwa ajili yako kwa sababu tu kakumisi unapomfanyia haya 7 Leo.
1. Ukiwa mbali usimpigie simu wala kumtumia sms kila muda.
Ukiwa sio mwepesi KUWASILIANA na mpenzi wako basi atakumisi na atapambana kukutafuta mwenyewe. Na kila simu atakayo kuwa ikiita atadhani ni wewe. Ila atastaajabu pale akikuta siyo wewe. Na hapo atadata kabisa kwako.
2. Siku Zote kuwa wa kwanza kumaliza mazungumzo mnapoongea kwenye simu au kutumia sms.
Lakini pia jitahidi Mara nyingi usiwe wa kwanza kumpigia simu au kutuma sms. Na hata kama mkiwasiliana fupisha mazungumzo au sms. Na uwe wa mwisho kuhitimisha ukisingizia upo busy au kuna sehemu ya mhimu unaware.
3. Usiweke picha mpya kwenye mitandao yako ya kijamii kila wakati au kubadili profile picture 📷 yako kila muda.
Hii itamuwia ngumu kujua unaendeleaje, una mweonekano upi na kwa sasa hali yako ikuje.
Kwahenga wasemavyo picha haidanganyi au kioo hakidanganyi. Yafaa umtengenezee ugumu wa kupata taarifa zako kirahisi. Hapo hakika atakumisi hadi adate kwako.
4 Jitahidi kuweka alama ya kudumu kwenye maisha yake.
Mfanyie saprise ambavo hatozisahau maisha yake yote. Msifie, msaidie, mpe zawadi, mshukuru, mbembeleze, mkiss, mhug. Na mfanyie manjonjo yote ya mahaba mbashara.
Hivyo ni lazima adate kwa ajiri yako kwa hakika.
5. Jitengeneze uwe na mwenekano wa kuvutia.
Vaa vizuri upendeze, ila uivae hovyo mala kimini, Mara unaacha viungo vyako nje. Kumbuka Mwanaume ambae yupo serious na mahusiano havutiwi hata kidogo na Mwanamke asiyejiheshimu.
6. Kuwa jasiri na mwenye Tabasamu Zuri. Usiwe mi mpenzi anayenuna hovyo, asiyeeleweka na mwenye SURA mbili.
Cheka furahi na kuwa wewe muda wote na hakika utapendwa kwelikweli.
7. Kuwa Mpenzi mwenye maadli mazuri.
U ni mtu mwenye matusi, umbea, sifa, kiburi, mJivuno, mJuto na kisasi.
Jipende, jiamini, jikubali na jithamini nakupa uhakika mpenzi wako ni lazima tu adate kwelikweli kwako.

Комментарии