Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende

preview_player
Показать описание
Wengi wameumia na kulia kwa sababu ya kung’ang’ania visivyostahili kung’ang’aniwa. Unashika weee na hujui wakati gani unapaswa kuachilia. Sasa nisikilize! Ukiona haya hapa, hata uwe unampenda vipi. Mwache aende
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante Mungu kwa kunipa chaguo sahihi Mungu mtunze Mme baba2 wangu mpe maisha marfu zaidi asibadirike tutuze adi wajukuu❤️ uko kote yeye hayupo mapungufu yake naweza kuvumilia🙏

edinakyaruzi
Автор

Shukran sana doctor kwa mafundsho lakn pia umenipa nafasi ya kujua kuwa wanawake ndo wanateseka sana na mapenzi kuliko wanaume...ina maana ndo wenye mapenzi ya dhati kwenye mahusiano

abdallahmfinanga
Автор

Asante sana Dr. Nimeamua kupiga hatua nyingine maana uliyoyasema yote almost mume wangu ndo anayoyafanya. Nimekuwa nikiogopa kuwalea wanangu peke angu au kuwaacha akawaletea mama mwingine akawanyanyasa ila naona mwenzangu hawazi juu ya hilo. Hajali kuhusu uwepo wangu, ananitamkia maneno mazito na anapenda sana wanawake na ndugu zake. Kila siku ndo naona yanazidi kwa sasa nimevaa ujasiri na kumove on.

sennykibambi
Автор

Mmh!!!! yaani mume niliyenae anatabia karibia zote, Yesu nisaidie🙏

nursechunga
Автор

Haya mafundisho kuna majuto yanayo endelea katika maisha ya watu kila siku.

priscakakwaya
Автор

Bora niliupa moyo nafasi ya kumuacha aende 🙌 Asante Dr.

dianagzo
Автор

Asante mungu niliyagundua haya mapema na akaniacha na mtoto afadhali single mather kuliko kuteseka maisha yako yote

ixqgonj
Автор

Umeokoa mahusiano ya wengi Mungu akubariki

neemaryan
Автор

Asante doctor Acha niondoke nimekua nikihisi kua mahusiano yetu hayatofika popote kwasababu Imani zetu ni tofauti

Happiness.
Автор

Nimekusikiliza sana your the best nilikua nawasikiliza wazungu sana wewe ndio Mtanzania imara.

kelvinwambura
Автор

Asante san Docter Mung akuzidishie Barak tele na kujuw vit vong zaid 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunakupend

alinedushimirimana-eijh
Автор

Mimi mme wangu alikuwa na tabia karibu zote na hizo nilitumia nguvu kubwa kumshauri na kumrekebisha lkn nilishindwa nikamwacha aende. Nalea mwenyewe. Nae anaishi na mama yake. Halafu jamii yote inayowazunguka inawashangaa mama na mtoto wake. Yaani mtoto wa kiume kukubali kuishi kwa mama yake wakati ana familia yake na mama kukubali kuishi na mtoto wake wa kiume ambae ameacha familia. Cha ajabu yeye na mama yake na familia kwa ujumla wala hawaoni kama ni tatizo. Najuta sana kuolewa na wrong person.

asiaswedi
Автор

Wooow good teaching.The guy that I loved left me and trust me vile alienda God opened was for me nikapata mtu ananipenda genuinely 🙏

FaithDalitso
Автор

Inauma sana, tokea mwanzo wa ndoa yangu mpaka sasa sijawahi kuijua furaha, nilikua na changamoto ya kiafya ndo nimefanikiwa mtoto mda huu niko kwetu misimamo na misingi ya maisha hayupo na hataki kuelewa anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi, dharau zimezidi😢

GloryUrio-tl
Автор

Ishi milele ww baba!🙏 Umekua daktar know wangu asante saaana 🙏🙏🙏🙏

gvanmlay
Автор

Mungu akubariki sana baba unatuponya, unatusaidia saaana saana baba.♥

magrethmbuma
Автор

Ahsante Kaka kw Mafundishoazuri kwa kweli wanawake wengi ndio tunateseka, sifa na utukufu tumrudishie Mungu kwa kukuleta wewe hapa duniani.

theresiagisberth
Автор

Kazi nzuri Chris nimelazimisha penzi myaka kumi na inne hai kuzaa tunda hata Moja nikajitowa.

nadiaharoon
Автор

Duh! Kwakweli kuolewa sio kukurupuka maana sio poa Mungu atusaidie2 jaman😢😢

edinaomary
Автор

My God, My Lord this subject touched me🙆‍♀😳

aminakhalid