Acha haya mambo kama una miaka zaidi ya 20 ili kutengeneza maisha ya mafanikio. #kelvinkibenje

preview_player
Показать описание
Tengeneza Maisha yako ukiwa bado kijana. Zingatia Mambo haya.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😂😂😂😂mwisho una kua kijana wa ovyo mpaka unakua mzee wa ovyo😂😂 nimeipenda hiyo

mwajumaanthony
Автор

Thanks bro, najiona kabsaaa nimeanza kuwa mtu mwingine toka nilipoanza kukufwatilia

kaperijohn
Автор

Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri nimejifunza. Na ninakufuatilia katika mafundisho yako nimejifunza sana

UshindiSimbeye-ve
Автор

Dah asante Mungu kunitoa kijijini nmebadilika kuanzia leo😅

MaryamIssa-iy
Автор

Asante kwa ushauri mzuri kaka MUNGU akutunze🙏

charityRashidi-ew
Автор

Tumepata elimu ya kutusaidia katika maisha yetu. Mungu akubariki

RajabuSalumu-ikfx
Автор

Asante kiongozi 👏 mejifunza Mambo mengi mazur kwako

calvinismkabuka
Автор

Sawa kabisa... Asanteee kwa elimu bro..

zaynbeadsgallery
Автор

Najiona hapo Asante sana toka nianze kukufatilia mipango yangu imebadilika

zayzey
Автор

Thanks intensely brother. I feel like uko na nichana mimi. I finally realise that

ZilfatAlly-lvrw
Автор

Baikiwa sana mungu akulinde na akuzidishie zaidi

DaudiPaschal-dk
Автор

Hapa kaka umenena tumeelewa sasa tukafanyie kazii

ALICIAKAIJAGE
Автор

ASante sana broo umenifundisha kitu kizur sana kaka

LinuskalokolaNicolaus
Автор

Umetisha sana bro nikichelewa wapi kukujua Asante sana

ArafatiDua
Автор

Eeeh jamani nimejifunza na kucheka juu🤣🙌🙌🙌

happybosha