Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana

preview_player
Показать описание
Makosa mengi yanayofanywa na wanandoa wapya ni matokeo ya kunyamazia baadhi ya mambo muhimu sana wakati wanachumbiana. Je unajua mzungumze mambo yapi? Basi Hakikisha mnazungumza haya kabla ya kuoana.#DrChrisMauki#Kabla#Kuoana
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana dkt nime juwa mengi kutoka kwako ubarikiwe kuliko wa barikiwa wote na itwa pache na ishi UG na tamani ni kuone Chris mshauri wangu. Nimejuwa mengi sana zaidi ya sana asante

MasikaPacheli
Автор

Daaah! Shukrani sana Dokta. Uchumba wangu umevunjika na sababu miongoni mwa ulizotaja imo. Ndiyo maana ndoa zina shida maana wengi wetu hatupati muda wa kuzungumza mambo ya msingi kama haya.

uzungupoint
Автор

Nashukur doctor, ,,aaah mm cna mahusiano wala ndoa lkn huwa nafkiria kuhus ivo vtu kpnd iko nkifikia kua mahusiano na ndoa, ,,,asante coz unazd kuniongezea upana juu ya ilo 🎉❤

AngelaNicolaus
Автор

Asante Dr. Mauki kwa Mafundisho mazuri Mungu azidi kukuweka kwa ajili yetu

girshonmatha
Автор

Ila Mauki 🙌kama ningesikiliza haya mapema dah

tabiabao
Автор

Ubarikiwe sana Dkt chriss mauki kwa mafundisho yako

MelaniaMunesi
Автор

Ahsante Dr Chris .
🙏 MUNGU akubariki
Kila siku unazidi kutuelimisha..

scollalema
Автор

Kiukweli kunabaadhi ya vitu hapo sijavifanyia kazi Asante sana kwa Darasa zuri Mungu azidi kukuweka kwaajili yetu

irenendauka
Автор

Asante kwa somo... nimepata kitu cha kunisaidia

rosemsheshi
Автор

Nashukuru sana dr mauk kwa ushauri wako mzuri nimekuelewa na nitayafanyia utafiti

JohariNangwa
Автор

Waw thanks for this doctor.. learning a lot from your lessons.

judagreemme
Автор

Ubarikiwe sana doctor nimekuelewa zaidi

angelfaustine
Автор

😮thanks a lot umeponya ndoa yangu doctor be blessed much

GraceMalale
Автор

Asante Sana dk mauki...
Kwa elim unayo tupa na kuonyesha njia ya kupita sisi vijana Mungu Akulinde

OnesmoCharles-oehx
Автор

Content zako ni relevant am proud kaka mauki mm ni mwanachana wako Mind of hope

NZAMUYEJoseph
Автор

One hundred million dollar Clip💪 Hongera sana doctor👏👏👏👏👏👏

chrissg
Автор

Ahsante sana doctor Charles mafundisho .

zaitunialli
Автор

asante sana nimejifuza vitu vikubwa sana

EvaAfredy
Автор

Asante sana Dr.chris nimekuwa nakufuatilia Sana kiukweli napata faida mungu akubariki

rukialupenza
Автор

Me listening to you nikiwa kwa relationship yenye yafaa tuoane next year asanta bro

EverlynKinyangi