Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe

preview_player
Показать описание
Mambo 7 ya kuacha ili ufanikiwe:
Kila mtu ana ndoto ya kufanikiwa siku moja. Lakini kamwe mafanikio hayawezi kutokea tu bila wewe kuandaa msingi wake mzuri.
Mafanikio yanajengwa na msingi wa tabia fulani zenye muendelezo na pia kuna tabia fulani ukiwa nazo basi kamwe huwezi kupata mafanikio.

Ungana na Ezden Jumanne akichambua tabia hizi saba (7) za kuacha ili uweze kufanikiwa:
.
Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
.
KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
👇🏼👇🏼
Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
.
NUNUA VITABU:
Nunua kitabu kitakacho kusaidia kukua na kujiongezea thamani.
Kupata orodha ya vitabu tuma neno: “KITABU” au “VITABU”
kwa WhatsApp namba: 0759-19-10-76
.
KOZI YA YOUTUBE CHANNEL MASTERY (BURE):
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Media Personnel & An Entrepreneur
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
.
KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
- Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
Tuwasiliane:
CALLS: (+255) 759 191 076
.
.
Mafanikio, Malengo, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Mipango, Kuhamasisha, Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Ushawishi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya kimwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Kocha wa maisha, Mzungumzaji wa motisha, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri,

#Siri #mambomuhimu #Mafanikio
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukihitaji msaada wangu kuhusu :
1. Kufungua channel
ya youtube
2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara)
.
Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076
.
YOUTUBE ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!

successpathnetwork
Автор

Ahsante sana kaka, nina kila sababu ya kusema ahsante ni kwa sababu binafsi unanipa kujifunza nisivyovijua na hasa ktk maisha haya yanayoendelea, mimi napenda kujifunza, kifupi nimekuelewa sana kaka na ubarikiwe na mungu akupe afya njema 🤝🤝🤝🤝🙏🙏

ezekielisaya
Автор

Even if there are others doing what you are doing you can never be exactly the same, each one of you is different and unique. You are doing a great job empowering others.

michaelnyangusi
Автор

Kwa jinsi nnavyozidi kukusikiliza ndivyo nnavyohisi maisha yangu yatavyobadirika kuanzia sasa be blessed brother

anithamasangula
Автор

Nimepata kitu, asante sana Mungu awe nawe katika kazi yako

husseinmkushii
Автор

Akhsant san bro umenifungua pakubwa mungu akubariki🙏🙏

jerryboe
Автор

Upo sawa Sana ndugu yangu kweli nimejaribu kubadili mfumo. Wangu ktk maisha yangu kutokana na mazungumzo yako upo sawa mungu akubariki Sana IshaAlha

princekulwa
Автор

Nimependa points zote umesiongelea ndugu na ninashukuru sana kwa unifungua macho ili nione kweli am blessed with ur teachings God bless you dear keep it up. Nitaendelea kukufatilia ili niwe jasiri wa maisha yangu

majumamasinde
Автор

Love you blood ❤️ kwaushauli wako Mungu akubaliki sana kila itwayo Leo🤲

Laila-zllj
Автор

kufanikiwa ni mtuwenyewe akiamua napia wanasema kuzaliwa masikini so tatizo tatizo kufa masikini nekuelewa sana brother asante sana Mungu akuinue zaidi

sagudatv
Автор

Brother, you've waked me up asante kwa moyo wako msafi coz I have realised smthing I have to create my self

khamiskazimoto
Автор

Kulinganisha ww na wengine kweli kosa la jinai haswaaa! Kaka somo zuri sana, Burundi twahitajia sana somo nzima kama hili, kaka just keep on again and again! Never give up

husseinamar
Автор

Asante sanaa
Na taka nipate ujuzi mwingi kupitiya maneno yako

mulilorugain
Автор

I get you bro. "Kama hatutatumia Ideas za vitabu tunavyo visoma basi tutakua tunapoze muda kusoma vitabu vingi "

josephmushi
Автор

Nimependezwa na comment za walio tangulia Asante xn brother umenifunza kitu nayaona mafanikio yang yapo njiani 🙏naacha kufuraisha watu

zakyahya
Автор

ninajifunza mengi mkuu kupitia hii crip na mungu akuongozee na akusimamie kwa kazi zako za kila sikuu

sumahassan
Автор

Santee nashukuru kwa juu ujimbe, naomba unionyeshe vile nitaomba maombi kumi na mbili 🙏🙏🙏

wickliffeorina
Автор

Brother j4 you're extremely talented! Nimejifunza kitu juu ya kulalamika kila wakati, I'm going to change! Thanks be blessed

muhingiramuhingira
Автор

Bloo edzen umenigusa asante sana kuna ki2 nimegain hapa
Mimi binafsi nina hiyo tabia ya kuwaridhisha wengine yaani kwamba nipo tayari kuingia gharama ili niwaridhishe so much, i promise i will be change my behaviour thus because ineed to achieve successful right now
Ujumbe wako umenifikia moja kwamoja

ramadhaniyusuph
Автор

Mr. Jumanne nakupongeza sana maana hizi Familiar zetu, watoto, mke na wengine hayo unayosema kuyaacha wengi ndo wamejikita huko!, Thanks so much!

johnmulemela